Elimu ya unajimu

Elimu ya unajimu

unajimu bila kuitaja kemet(ancient egypt) haujakamilika
Your ancestors gave to the world the calendar in 10,000 B.C.E. (Before the common “Christian” Era). That is 8,000 years before Adam and Eve. Your ancestors revised that dating system because of their understanding of the astronomical calculations. It is the science of astronomy that gives the ability to read calendars. Thus 10,000 B.C.E. saw the first calendar. The term is self explanatory, the solar calendar showing the relationship of the moon and the sun, etc. that gives us the basis of the present calendar, with 364 days corrected each year, instead of 365 days corrected each fourth year.
 
Swali la la kwanza ; Unajimu ni imani au mahesabu?
Swali la pili; Kama kweli unajimu unafanya kazi, je Waweza kutuambia nini kinatendesha hadi kufikia kutokeza matokeo?
 
Mkuu unajimu umeanzia Babylon. Usiishie kusoma andiko moja tu
 
Swali la la kwanza ; Unajimu ni imani au mahesabu?
Swali la pili; Kama kweli unajimu unafanya kazi, je Waweza kutuambia nini kinatendesha hadi kufikia kutokeza matokeo?
Unajimu ni imani na pia ndani yake kuna mahesabu.

Ni Imani kwa kuwa wanajimu wote wanaamini kwamba movement of planets in the different celestial sign zina uhusiano na maisha yetu ya hapa. Na hili limefanyiwa utafiti.

Ni mahesabu kwa kuwa katika unajimu kuna calculation nyingi kama isingekua software tunazotumia hivi leo ingeleta shida sana kwa wasiojua hesabu vizuri.

Swala la kujua nini kitatokea kesho itategemea unataka kujua kitu gani. Lakini unapo generalize inakua hai make sense.

Kila kitu kinawezekana katika unajimu.
 
Unataka kitabu, article ama una unataka nini?
 
mkuu Nyota inapatikana kwa kutumia mwezi uliozaliwa au Jina la mtu?
maana unaweza kuta mtu nyota za kuzaliwa Ndoo ,nyota ya Jina samaki inakuwaje? nyota halisi ni ipi
 
mkuu Nyota inapatikana kwa kutumia mwezi uliozaliwa au Jina la mtu?
maana unaweza kuta mtu nyota za kuzaliwa Ndoo ,nyota ya Jina samaki inakuwaje? nyota halisi ni ipi

Kwanza niseme hizo mnazoziita nyota ya samaki, mbuzi, kondoo na zile zingine. Hizo sio nyota moja, bali ni mkusanyiko wa nyota nyingi ambazo zinatengeneza umbo maalum kama hayo ya Nge, Simba, Mbuzi, Kaa n.k.

Naomba mjue na mtofautishe hivi vitu viwili;

Kuna fixed stars na celestial sign.

Fixed Stars hizi hazihesabiki ndo zile mnazoziona angani kila siku usiku. Miongonia zile zote zipo 149 tu ambazo ndo zinawaka kuliko zote kule angani. Na hizo ndizo tunazozisoma kwenye unajimu.

Halafu kuna hizo celestial sign (maumbo ya nyota) yaani zile nyota za angani zimetengeneza maumbo 88 lakini sayari zetu hizi zina uwezo wa kufikia maumbo 12 tu ya nyota. Ambayo ndo hayo;
Kondoo, Ng'ombe, Mapacha, Kaa, Simba, Mashuke, Mizani, Nge, Mshale, Mbuzi, Ndoo na Samaki.

star-signs-in-the-sky-constellation-stars-zodiac-signs-in-space-vector-19070699.jpg
 
mkuu Nyota inapatikana kwa kutumia mwezi uliozaliwa au Jina la mtu?
maana unaweza kuta mtu nyota za kuzaliwa Ndoo ,nyota ya Jina samaki inakuwaje? nyota halisi ni ipi
Nyota inapatikana kupitia tarehe, mwezi na mwaka wako ya kuzaliwa, saa uliyozaliwa, pamoja na mji ulozaliwa.
 
Hapana kwenye unajimu hatuangalii hivyo. Kuna kitu kwenye unajimu kinatwa synastry, hiyo ndio inahusu relationship, na mahusiano yote kwa ujumla.

Hapa inabidi tujue tarehe ya wahusika wote wawili kisha tutaangalia Venus imetengeneza aspect gani. Hapa ndo tutajua hao watu kama wataendana au la.
Ok sawa sawa mkuu
 
1.kwanini unafikiri kututaka tujifunze unajimu..?

2.elimu ya unajimu inauhusiano gani na sayansi..?

3.kuna usahihi wa asilimia ngapi kwenye unajimu ktk maisha ya mwanadamu..?

4.elimu ya unajimu inaamini nini juu ya maisha ya mwanadamu..?

5.na je,unajimu unaamini nini juu ya chanzo cha uhai ulimwenguni..?
Swali la 2. Elimu ya unajimu ina uhusiano gani na sayansi.

Jibu; Unajimu ina uhusiano na sayansi nyingine, kwa sababu kwanza imefanyiwa utafiti kwa muda mrefu. Takribani miaka 4000 Wanajimu walikua na kazi ya kufuatilia position of the planets kila siku na kulinganisha na matukio yanayotokea duniani. Wakagundua kuna mahusiano makubwa kati ya matukio yanayotokea duniani na mwendo wa sayari zinavyotembea.

Nakukumbusha tena, Astrology is the Science of Probability. Na hii Astrology ndio zao la Astronomy ambayo nayo pia ni Science.
 
Back
Top Bottom