Elimu ya unajimu

Elimu ya unajimu

Hata kama ingekua bure nisingefanya hapa.

Halafu mbona kama una take easy tu , unajua kazi hiyo unayoitaka inachukua page ngap? Ama inakuchukua muda gani kuifanya.

Shida ni kwamba watu wengi hawaelewi haya mambo namna yalivyo.

Ngoja nikutafutie kitu kama hicho kwenye file zangu halafu nikuwekee hapa uangalie imechukua kurasa ngapi.

Huo ni utabiri alifanyiwa Bill Clinton. Rais wa Marekani. Alifanyiwa na wazungu wenzie.
Mkuu haukuwa na haja ya kueleza haya yote mimi nimfuatiliaji sana wa hizi mambo na najuwa kazi zake zilivyo so nilivyokuuliza hivyo ilikuwa ni suala la kujibu ndio au hapana mkuu kwa sababu kwenye maelezo ya thread yako umesema hapa unajibu maswali hivyo ni suala la Ndio au Hapana halafu ingebaki ni jukumu langu kuja watsapp au la.
 
Mkuu haukuwa na haja ya kueleza haya yote mimi nimfuatiliaji sana wa hizi mambo na najuwa kazi zake zilivyo so nilivyokuuliza hivyo ilikuwa ni suala la kujibu ndio au hapana mkuu kwa sababu kwenye maelezo ya thread yako umesema hapa unajibu maswali hivyo ni suala la Ndio au Hapana halafu ingebaki ni jukumu langu kuja watsapp au la.
Bahati mbaya imeshindikana kuweka hapa file. Ila kwa faida yako naweza kukutumia WhatsApp kama unahitaji.

Nakutumia bure ujionee mwenyewe.
 
Mkuu kuna mahusiano gani yaliyopo kati ya unajimu na ushirikina?
 
Mkuu kuna mahusiano gani yaliyopo kati ya unajimu na ushirikina.

Umeuliza swali zuri sana..

Mnajimu ni mtu anayetoa ushauri kwa wengine kuhusu mambo yao yajayo kutokana na mwendo wa sayari mbalimbali na mpangilio wake ulivyo katika kipindi fulani.

Ushauri wa mnajimu hutegemeana na swali la muhusika. Hivyo swali lako ama shida yako ndio itakua ndio muongozo wa kukupa ushauri.

Mnajimu hutumia chart maalum mfano wa hii
astro_35gw_kjhg_201874.45316.11505.jpg


Mshirikina ni mtu ambaye hutumia njia tofauti kukukwamisha usiendelee. Moja wapo ni njia ni kuichafua nyota yako.

Namna wanavyofanya mimi sielewi.
Na huijua nyota yako kupitia mizimu yao wanayoijua wenyewe.
 
Kuwa huru kuuliza swali lolote
Kibongobongo kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 80 kurudi nyuma inakuwa tabu kifogo kujuwa muda uliozaliwa. Sasa inakuwaje endapo wewe mnajimu utataka kujuwa muda niliozaliwa?
 
Mtu anakwambia jua, sayari na mwezi vyote ni sayari.

Mpaka hapo tu lazima umuone chizi.

Ama sivyo na wewe unakubali kuwa chizi kama yeye.
 
Nimepata kwikwi kidogo apo kwenye list ya planet... nimeona umeilist SUN kama mojawapo ya planet
 
Kibongobongo kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 80 kurudi nyuma inakuwa tabu kifogo kujuwa muda uliozaliwa. Sasa inakuwaje endapo wewe mnajimu utataka kujuwa muda niliozaliwa?
Ina maana hujui umezaliwa saa ngapi?

Kama hilo hulijui ina maana tutamiss taarifa muhimu. Lakini haina kama tutapoteza kila kitu. Ila tutakua na mpaka kwenye baadhi ya mambo.

Kwa sababu saa uliyozaliwa ina muhimu. Kumbuka hatutumii inayoweza kutuambia taarifa ambazo tunaziingiza kwenye software maalum. Software hiyo kazi yake ni kuonyesha position za sayari kwa wakati huo.
 
Mtu anakwambia jua, sayari na mwezi vyote ni sayari.

Mpaka hapo tu lazima umuone chizi.

Ama sivyo na wewe unakubali kuwa chizi kama yeye.
Ndo tatizo kurukia nyuzi bila kusoma kwa umakini, hilo swali si nishakujibu tangu awali.

Haf siku nyingine uje kwa adabu unapouliza swali. Hivi mi ntakua mjinga kiasi gani nishindwe kujua kama Sun ni star na moon ni luminary ama satellite kama mlivyozoea kuiita.

Mwisho wa siku tambua nakuheshimu hata kama sikufahamu.
 
Ndo tatizo kurukia nyuzi bila kusoma kwa umakini, hilo swali nishamjibu kiranga kabla hata wewe hujauliza.

Haf siku nyingine uje kwa adabu unapouliza swali. Hivi mi ntakua mjinga kiasi gani nishindwe kujua kama Sun ni star na moon ni luminary ama satellite kama mlivyozoea kuiita.

Mwisho wa siku tambua nakuheshimu hata kama sikufahamu.
Wewe unayemjibu Kiranga kwa kumwambia hilo swaliushamjibu Kiranga kabla Kiranga hata Kiranga hajauliza sio tu umerukia kujibu, umefakamia kabisa.

Mazee kama hujui hata kunukuu nitapata vipi uhakika kwamba unachoandika unakielewa na hujalewa?
 
Wewe unayemjibu Kiranga kwa kumwambia hilo swaliushamjibu Kiranga kabla Kiranga hata Kiranga hajauliza sio tu umerukia kujibu, umefakamia kabisa.

Mazee kama hujui hata kunukuu nitapata vipi uhakika kwamba unachoandika unakielewa na hujalewa?
Soma hayo majibu yangu kwa umakini
 
Kama mtu ajui mwaka wake Wa kuzaliwa wala tarehe tuna msaidiaje ili ajue nyota yake..
 
Unajua we kiranga ungekua unajua chochote kuhusu Unajimu, tungeweza kuongea chochote.

Tatizo sasa huna unalolijua kwenye unajimu halafu sijui kwa nini tunabishana.

Ila kila mtu ana njia yake ya kujifunza. Ila mi sitoi elimu kwa njia ya mabishano.

Mwisho wa siku nakusisitiza tena tumia lugha ya staha, unapoongea na watu.
 
Unajua we kiranga ungekua unajua chochote kuhusu Unajimu, tungeweza kuongea chochote.

Tatizo sasa huna unalolijua kwenye unajimu halafu sijui kwa nini tunabishana.

Ila kila mtu ana njia yake ya kujifunza. Ila mi sitoi elimu kwa njia ya mabishano.

Mwisho wa siku nakusisitiza tena tumia lugha ya staha, unapoongea na watu.
Unajimu kwa maana ya astrology umejaa ujinga wa zamani.

Astrology and Horoscopes Debunked

An Astronomer’s Opinion
So what does science have to say about astrology? Phil Plait (a veritable astronomer, not astrologer) summarizes his scientific opinions as follows:

  • There is no force, known or unknown, that could possibly affect us here on Earth the way astrologers claim. Known forces weaken too fast, letting one source utterly dominate (the Moon for gravity, the Sun for electromagnetism). An unknown force would allow asteroids and extrasolar planets to totally overwhelm the nearby planets.
  • Like psychics, astrologers tend to rely on human’s ability to remember “hits” and forget ”misses” – a form of selective bias. Even an accurate predictions may be due to simple chance.
  • Study after study has shown that claims and predictions made by astrologers have no merit. They are indistinguishable from chance, which means astrologers cannot claim to have some ability to predict anyone’s life’s path or destiny.
  • There is harm in astrology. It weakens people’s ability to rationally look at the world, an ability we need now more than ever.
Logical problems with horoscopes and astrology:
·
1) Since the Earth spin drifts slightly, the constellations shift by at 1 degree every 72 years. Over time, roughly 2000 years, the signs of the zodiac actually get shifted over by one. So what’s your sign? It should actually be shifted one over from what you think it is… that is, you should be reading the horoscope from the star sign before yours!

2) 2) Horoscopes are cast from the time of birth, not from the time of conception. What is considered the time of birth? When the water breaks? When the head appears? When the feet are out? What about a c-section? You would think that the planets would begin their influence on the unborn fetus for the duration of its development.

3) 3) When you read your horoscope, you’re sharing it with roughly 1/12th of the world’s population. Doesn’t it seem strange that so many people from across the entire planet should share the same fate on any given day?

4) 4) Why are people born on the same day each year so different? Surely, if the gods or planets or whatever had some sort of true influence, then anyone born on the same day each year should be very, very similar.

5) 5) The traditional planets of our solar system (i.e. none of the recently discovered planetary candidates), were named after Roman gods. This assignment was completely arbitrary. There might have been some logic behind it (Mars is red, war has blood, etc.), but overall there is no real reason to think that just because Venus was named after the goddess of love, that it should hold any sway over one’s relationships. If the “effects” of the planets on people, had any real relationship to the planets themselves, then Venus should be the ruler of bad gas, not love.

6) 6) Many astrological terms are holdovers from a time when the Earth was believed to be the center of the universe. We are clearly not at the centre of the universe.

7) 7) What about Uranus, Neptune and Pluto, which were only discovered within the past 250 years? In ancient times, these outer planets were unobservable with the naked eye. Astrologer’s based their system and equations upon the seven planets they believed revolved around the Earth. If the position of the planets has an influence upon human behavior and events, then how could any of the beliefs have been correct, if these celestial objects were missing from the “equation”?

8) 8 ) Here’s a logical fallacy: the appeal to tradition. Just because lots of people practice a tradition, like astrology, says nothing of its viability. Simply because many people may believe something says nothing about the fact of that something. For example, many people during the Black plague believed that demons caused disease. The number of believers said nothing at all about the actual cause of disease.

Most importantly, none of the detailed statistical studies that have looked at astrology have found any merit in it. For example, a psychologist from Michigan State University, Bernard Silverman, looked at 2,978 married couples and 478 couples who divorced. He found absolutely no correlation between which couples divorced, and which couples were born under alleged “incompatible” signs.

A Comprehensive Study Measuring the Performance of Astrology and Astrologers
Geoffrey Dean and Ivan W. Kelly’s report “Is Astrology Relevant to Consciousness and Psi?” looked at the efficacy of astrology noted and concluded the following:

  • A large-scale test of persons born less than five minutes apart found no hint of the similarities predicted by astrology.
  • Meta-analysis of more than forty controlled studies suggests that astrologers are unable to perform significantly better than chance even on the more basic tasks such as predicting extraversion.
  • More specifically, astrologers who claim to use psychic ability perform no better than those who do not.
“Our concern in this article has been to measure the performance of astrology and astrologers. A large-scale test of time twins involving more than one hundred cognitive, behavioural, physical and other variables found no hint of support for the claims of astrology. Consequently, if astrologers could perform better than chance, this might support their claim that reading specifics from birth charts depends on psychic ability and a transcendent reality related to consciousness. But tests incomparably more powerful than those available to the ancients have failed to find effect sizes beyond those due to non-astrological factors such as statistical artifacts and inferential biases.”

Debunking Horoscopes and Astrology Yourself
It should be easy enough for anyone to debunk horoscopes or astrology. All you need to do is take a sample horoscope for the same sign on the same day across various networks. If horoscopes are legit, then all five horoscopes should be in line with each other – giving the same type of advice to their followers. Below, you’ll find a small sample for my sign, Taurus, for December 20th, 2010:

Keep in mind, this horoscope applies to roughly 583 million people across the planet (taking a quick estimation of the number of people that are Taurus on Earth)

Horoscope #1: From www.horoscope.com
“You need bigger and longer hugs than usual today, Taurus. A powerful force is moving through your life and trying to shake things up. Don’t stoop to the level of petty argument and verbal sparring. The more you resist the opposition, the more stubborn and unwieldy the situation becomes. Make sure you have a good hold on your emotions before you leave the house.”

Horoscope #2: From www.theglobeandmail.com
“Be careful what you agree to over the next two or three days because the approaching lunar eclipse will blur the line between fact and fantasy. This is not a good time to be reckless with your money, or your reputation.“

Horoscope #3: From Horoscopes - Weekly Horoscopes - Free Daily Horoscopes - Zodiac Love Match - SpiritNow.com (Sylvia Browne’s site)
“Although the fun element will be lacking almost from start to finish, this is certainly a useful day. Don’t be surprised if you notice some very tiny changes over an ongoing matter. These nudging or very slight improvements might not be much to celebrate, but they will indicate further improvements to come!”

Horoscope #4: From www.nationalpost.com
“Stay on top of your bank account and your bills today because something unexpected might be taking place. This could affect inheritances, shared property, insurance matters, or anything you hold jointly with others. Make sure you aren’t overdrawn. (Nobody likes surprises like that.)”

Horoscope #5: From www.astrology-online.com
“Focus on your domestic scene. Get together with friends or relatives. Calm down and take a step back. You can’t win and they won’t listen.”

In this very small sample set, it’s clear that they have nothing in common – except that the two Canadian newspapers (the Globe and Mail and the National Post) both reference “money”… but given that the holidays were right around the corner, “money” was on everyone’s mind already, so I will discount that statement as an appeal to the masses.





Follow Up:
I deliberately paid close attention to each of my 5 horoscopes for December 20th, and nothing came true. I focused on my domestic scene – no issues. I stayed on top of my bank accounts – no issues. There were no “slight improvements” to note. I didn’t need bigger or longer hugs.

Conclusion: There is no legitimate scientific evidence to support astrology and horoscopes.
Why do 25% of Americans, despite the lack of evidence, continue to believe in Astrology and horoscopes? “Many people quite simply just want to believe,” says Brian Cronk, a professor of psychology at Missouri Western State University. “The human brain is always trying to determine why things happen, and when the reason is not clear, we tend to make up some pretty bizarre explanations.”

Horoscopes and astrology are for fun, period. If you enjoy reading them and you’re a fan of subjective validation, and you want to spend your hard-earned disposable income on books, 1-900 numbers, and readings, then by all means, go ahead. But don’t claim astrology real, and don’t claim it’s science. And by all means, don’t let your horoscope affect important life decisions – there’s a reason why websites and 1-900 numbers have a disclaimer stating that their “advice” is “for entertainment purposes only”.


References:
astrology - The Skeptic's Dictionary - Skepdic.com
Barnum effect - Wikipedia
Phil Plait's Bad Astronomy: Misconceptions: Astrology
Astrology or Star Struck › Dr Karl's Great Moments In Science (ABC Science)
http://www.imprint.co.uk/pdf/Dean.pdf
^ Marks, David F (2000). The Psychology of the Psychic (2 ed.). Amherst, New York: Prometheus Books. pp. 41. ISBN 1573927988.http://search.barnesandnoble.com/The-Psychology-of-the-Psychic/David-F-Marks/e/9781573927987/?itm=1.
^ Forer, B.R. (1949). “The fallacy of personal validation: A classroom demonstration of gullibility”. Journal of Abnormal and Social Psychology (American Psychological Association) 44 (1): 118–123. doi:10.1037/h0059240.
^ Dickson, D.H.; Kelly, I.W. (1985). “The ‘Barnum Effect’ in Personality Assessment: A Review of the Literature”. Psychological Reports (Missoula) 57 (1): 367–382. ISSN 0033-2941. OCLC 1318827.
http://searchwarp.com/swa24826.htm
Astrology: Why Your Zodiac Sign and Horoscope Are Wrong
http://www.livescience.com/strangenews/etc/horoscope-2011-astrology-sign.html
http://www.livescience.com/strangenews/etc/091210-americans-believe-god-astrology-and-ghosts.html
 
Mkuu kuna mahusiano gani yaliyopo kati ya unajimu na ushirikina.

Umeuliza swali zuri sana..

Mnajimu ni mtu anayetoa ushauri kwa wengine kuhusu mambo yao yajayo kutokana na mwendo wa sayari mbalimbali na mpangilio wake ulivyo katika kipindi fulani.

Ushauri wa mnajimu hutegemeana na swali la muhusika. Hivyo swali lako ama shida yako ndio itakua ndio muongozo wa kukupa ushauri.

Mnajimu hutumia chart maalum mfano wa hii
View attachment 814187

Mshirikina ni mtu ambaye hutumia njia tofauti kukukwamisha usiendelee. Moja wapo ni njia ni kuichafua nyota yako.

Namna wanavyofanya mimi sielewi.
Na huijua nyota yako kupitia mizimu yao wanayoijua wenyewe.
Nakumbuka kuna mtu ambaye alikuwa anahusu sana alikuwa anaumwa sana,nyakati za mwisho alikuja mtaalamu wa kusoma nyota na akaangalia nyota ya mgonjwa.

Alichokisema ni kwamba tumechelewa wabaya wake wameshachafua nyota hivyo hakuna tunachoweza kufanya.

Huwa najiuliza kuchafua nyota ya mtu ndiyo inakuaje?
 
Back
Top Bottom