Mimi ni mwalimu niliyejiendeleza kutoka ngazi ya certificate hadi hatua ya shahada,
tatizo ni kuwa nimeshinikizwa kuhamia sekondari bila hata kulipwa stahili zangu za uhamisho na kwa upande wa mshahara Utumishi wamekataa kunirekebishia mshahara wangu kwa kiwango cha elimu nilicho nacho na kudai kuwa hadi mwakan april ndio watafikiria,nimejaribu kwenda hadi kwa DED akasema ni mwongozo kuwapeleka walimu wote wenye shahada sekondari uwe unataka au hautaki,
jamani hii ni haki kumuongezea mtumishi majukumu bila hiari yake na kumnyima stahili zake?
Inauma sana namna walim tunavyoburuzw kila kukicha,ningeshaondoka ila kwa kuwa upatikanaji wa kazi nyingine ni mgumu,
na sijui nifanyeje maana sion msaada wa elimu yangu zaid ya kunipa stress tu!,