Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ukiangalia matokeo ya form VI toka BRN ianzishwe yamekuwa yakipanda mwaka hadi mwaka. Mimi binafsi huwa najiuliza ni nini kinacho boost matokeo yao ikiwa walimu morali yao ya kufanya kazi iko vile vile kutokana na kudai haki zao nying tu. Pia syllabus ni zile zile, topics ni zile zile, sasa ni kitu gani kilichobadil upepo wa matokeo? Kabla ya hii BRN mtu wa PCB alikuwa akipata ccc 1.9 alikuwa na uhakika wa kusoma MD chuo chochote alichohitaji leo hii mtu huyo huyo kupata hiyo MD ni mbinde. Je ndo kusema wanafunzi wa sasa wana bidii sana kwenye masomo yao kuliko wale wa kabla ya hii BRN?
Naomba tujadili wakuu.
Naomba tujadili wakuu.