GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Walimu ni walewale na stahili zao ni zile zile na mbaya zaidi sahiv inawezekana ndo hali imekua mbaya kwao, waziri ni yule yule, vitabu, mazingira ya kusoma ni yale ya kwetu wa zamani mi nadhani hapa wanachokifanya ni kuficha moto kwa mabua ila moshi utawaumbua tu siku wakianza kudisco huko vyuoni ndo watashtuka sijui watamlaum nani, mfano wale kidato cha 2 iliyopewa ofa ya kupita bila kufeli kwenda kidato cha 3, matokeo ya kidato cha 4 yaliwaumbua sasa hili linalofuata litakua ni JANGA.Kwel kabisa mkuu miundombinu ni ile ile tu sasa kilichobadili upepo wa matokeo mm hata Sikielewi