Elimu yetu imeingizwa siasa ndani yake

Elimu yetu imeingizwa siasa ndani yake

hawa jamaa kwasababu wao walifeli bac wakiona wenzao wanafaulu kwa wingi.
wanakua na wivu kweli.
 
Acha dharau dogo nan alifeli? Mm menyewe nina dogo langu hapa limepiga PCB mwaka huu Lina b+*3 lenyewe hata haliamin amin.... Acha ku attack watu jadili hoja hapo juu ni nn kilichoongezwa mpaka brn watu watusue kiasi hiki?
Nakumbuka hii issue ya nyie kutusua ilianzaga pale necta ilipofuta matokeo na kusahihisha upya ndipo utusuaji ulipoanzia mpaka leo
 
Mimi pia nina dogo limemaliza six limepata B plus moja na plain mbili....cbg
Ila lenyewe linasema lilistahil makaraiii tuu
 
Ukiangalia matokeo ya form VI toka BRN ianzishwe yamekuwa yakipanda mwaka hadi mwaka. Mimi binafsi huwa najiuliza ni nini kinacho boost matokeo yao ikiwa walimu morali yao ya kufanya kazi iko vile vile kutokana na kudai haki zao nying tu. Pia syllabus ni zile zile, topics ni zile zile, sasa ni kitu gani kilichobadil upepo wa matokeo? Kabla ya hii BRN mtu wa PCB alikuwa akipata ccc 1.9 alikuwa na uhakika wa kusoma MD chuo chochote alichohitaji leo hii mtu huyo huyo kupata hiyo MD ni mbinde. Je ndo kusema wanafunzi wa sasa wana bidii sana kwenye masomo yao kuliko wale wa kabla ya hii BRN?

Naomba tujadili wakuu.
We umeangalia tu idadi ya ufaulu kuongezeka bila kuangalia alama za ufaulu (PRINCIPLES) kushuka..... teh teh teh teh! hakika unajadili kisiasa na sio kitaaluma! Mfano, C yazanani kwa sasa ni sawa na D.
 
Taifa lolote linalochezea elimu yako na Ku create wajinga kamwe haliwezi kuendelea. Haya matokeo ka yameingizwa kisiasa ni hatari sana. Huwezi kuongeza idadi ya goal ili ushinde kirahisi. Enzi nasoma kulikua na mtihani form two watu tulikua tuna bukua hatari. Serikali acheni kuchezea elimu tatizo sio ufaulu mkubwa je wako competent.
 
Good observation! Ni siasa tu na ndio maana Ndalichako alikataa kuchakachua matokea ili shule za kata zionekane zimefaulu sawa na za binafsi. Wakamuondoa! Huyu wa sasa mpuuzi anasema kwa majivuno eti shule za wanainchi ziko sawa na za binafsi wakati likijua fika kuwa wamechakachua marks!
Inashangaza sana miundo mbinu ile ile eti iliyokua inatumika miaka yote eti baada ya miaka ya BRN ufaulu umepanda ghafla Bini vuu. Hii si kweli kabisa mi haya matokeo kuanzia form four na form six ni ujanja ujanja tu na lazma wajiandae kukosa chuo hao.
Raisi ajae atie mkazo kwenye kuwekeza kwenye elimu sio kuongeza ma GPA eti ili kuonyesha ubora wa ufaulu. Yani ningekua na mtoto siwezi kumwacha asome shule zenye division five bora hata Kenya.
 
We umeangalia tu idadi ya ufaulu kuongezeka bila kuangalia alama za ufaulu (PRINCIPLES) kushuka..... teh teh teh teh! hakika unajadili kisiasa na sio kitaaluma! Mfano, C yazanani kwa sasa ni sawa na D.

Ahahaha haya ndo madhara ya brn ya Kawambwa ...... Nan aliyekuambia C ya Zaman ni D ya BRN?........ C ya Zaman ni Sawa na B ya brn mkuu.
 
mkuu F6 wanafurahia sana matokeo yao ila mda si mrefu wataanza kuitupia lawama TCU kwa kuwaacha wahitimu wengi huku wana sifa na vigezo vya kwenda vyuo vikuu baada ya admission capacity ya vyuo kujaa.Tatizo linarudi palepale kuwa serikali imeleta mpango wa BRN bila kuandaa miundombinu ya kupokea mazao ya mpango huo,mfano ni ongezeko la ufaulu wa wanafunzi hasa tunavyoona sasa wanafaulu sana masomo ya sayansi na ndio lilikua lengo lakini ukiangalia vyuo vikuu vilivyoongezeka tangu mpango huo uanzishwe ni vichache hususani vyuo vya afya kwa ngazi ya degree.Mfano mzuri ni mwaka jana tuliona jinsi idadi ya PCB na CBG walivyokosa vyuo vya afya kwa sababu ya competition na mwaka huu itakua zaidi ya mwaka jana maana wapo baadhi hawakwenda vyuoni wanaapply mwaka huu kwa hiyo mwezi wa kumi itakua ni lawama kwa TCU wakati hawana kosa lolote tatizo ni Necta.Kwa hiyo serkali imeleta brn bila kuandaa miundombinu ya kupokea mazao ya mpango huo

Bila Shaka mkuu ulichoandika ndo ukwel wenyewe
 
Tuwe serious tu hasa wale waonao Elimu imepanda.
Mfano mdogo ni kwa wenye Div iv sijui mwaita Pass siku hizi, wanahesabika nao wamefaulu.
Je, waweza kueleza wanaweza kujiunga na shule yoyote ikawakubali? Vyuo je?
 
Je upangaji wa GPA haiwezi kuwa sababu?

Matokeo ya Ualimu GPA ya 4.1 imeeitwa CREDIT wakati ACSEE GPA 3.7 ni Distinction. Ha Ha Ha Ha, BRN ni chiboko ya Kidato cha sita manake mwenye GPA ya 1.7 kapewa CREDIT wakati mwalimu mwenye GPA ya 3.3 kapewa kiwango cha chini kabisa cha ufaulu cha PASS. Jamani hiki ni nini, tunasema alimu hawana uwezo kumbe Kidato cha Sita wamewezeshwa na hata Walimu wakiwezeshwa wataonekana wanaweza.

Tizama Kidato cha Sita http://necta.go.tz/matokeo/2015/ACSEE2015/s0155.htm

Linganisha na Ualimu http://necta.go.tz/matokeo/2015/GATCE2015/510.htm

Ukiangalia matokeo ya form VI toka BRN ianzishwe yamekuwa yakipanda mwaka hadi mwaka.

Naomba tujadili wakuu.
 
Mimi ndo kabisa siielewi hii brn yao, mara kapata merit+distinct+cjui nini, wakati enzi zetu tulizoea 1+two+3+four+zero, na hizo gpa tukazikutia chuo. Na enzi zetu mtu ukipata div2 kweli ni two, hawa saizi wabunge wanaogopa kupigwa chini wanaamua kuwaboost madogo, ndio wamefaulu wengi ila inasikitisha sana huko tunakoelekea kama system ya elimu haijabadilishwa na kurudishwa km enzi za ndalichako
 
Inashangaza sana miundo mbinu ile ile eti iliyokua inatumika miaka yote eti baada ya miaka ya BRN ufaulu umepanda ghafla Bini vuu. Hii si kweli kabisa mi haya matokeo kuanzia form four na form six ni ujanja ujanja tu na lazma wajiandae kukosa chuo hao.
Raisi ajae atie mkazo kwenye kuwekeza kwenye elimu sio kuongeza ma GPA eti ili kuonyesha ubora wa ufaulu. Yani ningekua na mtoto siwezi kumwacha asome shule zenye division five bora hata Kenya.

Kwel kabisa mkuu miundombinu ni ile ile tu sasa kilichobadili upepo wa matokeo mm hata Sikielewi
 
Kwel kabisa mkuu miundombinu ni ile ile tu sasa kilichobadili upepo wa matokeo mm hata Sikielewi
Kuboresha elimu sio kuongeza ufaulu kwa wanafunzi hata kama hawana vigezo. Hali ni tete sana kiukweli ka taifa tuna produce wasomi wasio na weledi kisa siasa na hivi ni mwaka wa uchaguzi. At the end of the day walalahoi ndo wataumia na uu mfumo mbovu. Warudishe ile system ya zamani ya na kutoa matokeo ki division na mitihani ya kidato cha pili.
 
Hahahaha naona unaleta Utan mkuu...... Kwa taarifa yako watu walikuwa wanapiga msuli baraa hasa hiz comb za science na ndicho kilichofanya idadi kubwa wawe wanazikwepa hizo comb za science sio kama Sasa ambapo ni kimbilio la wengi ambalo nahisi ndo lengo kuu la serikal....... Kuhusu tuition zilikuwepo za kumwaga tu tena za wakali kuliko Hawa wa Sasa..... Kuna mtu alikuwa anaitwa Mkandawile,Mtiga Mchwampaka pia kuna mmoja alikuwa Makongo pale nimemsahau alikuwa a napiga biology balaa pia yupo Musa pale Mwenge na watu walikuwa Wana attend karibia zote hizo na bado huna uhakika kivile kutokana na ugumu wa masomo yenyewe

Basi nyinyi vichwa vyenu vilikua matope kama walimu walikua hawagomi ,tuition za kutosha na team work then munazngusha pole yenu

Munailaumu BRN wakati hamjui ukweli kuhusu BRN
Iyo B+ Unayoilalamikia haina tofauti na B ya enzi hizo
Na C ya BRN inatofauti kubwa na C ambayo ulisomea ww

C ya BRN =4
C uliyosomea ww =3
Kwenye BRN ukipata C tatu utakua na 12 point ambayo ni Credit .
Kwenye Elimu yako ukipata C tatu = 9 ambayo ni division two
Je uoni utofauti?

Kipindi ww unasoma D ilikua inaanza 21 mpka 40,
Ila kwenye BRN inaanzia 30-39 yaani Leo hii mtoto akipata alama 21 -29 kwenye mtihani ni failed aihesabiwi je na hapa auoni tofauti?

Hata hivyo waacheni watoto wang'ae ni wakati wao wanajituma acheni wivu
Na hii BRN inawapoteza sana watoto Wa shule za kata kwasababu wengi wao ufaulu wao uanzia alama 60 kushuka chini ,wale Wa vijijini ndio kabisa uanzia 40 kushuka chini mwisho Wa siku wanajikuta wana ZERO ila ingekua enzi zenu hakosi Div Four kutokana na D za 21,22,23,24,25 ,26 n.k
 
Mkuu Saydou naona unaongea kitu usichokifahamu vizuri...... Nimekuelezea kuhusu tuition, group work, kujituma umenielewa Sasa umekuja na matope hiyo ni kashfa anyway tuache hayo ya matope........ Nasema hujui unachoongea kwasababu hiyo C ya Zaman ni Sawa na B ya brn mkuu ambapo ukiwa nazo 3 ilikuwa ni 1.9 na si div 2 kama ulivyosema....... Ukifanya comparison ya grade za Zaman na Sasa unajua inamaanisha nn?..... Jibu ni kwamba elimu ya Zaman ilikuwa bora kuliko hii ya Sasa........ Na hizo D za Zaman 21,22,23 nk ndo C ya BRN kwa sasa..... Bado hujagundua kitu tu hapo mkuu?
 
Na kinachoshangaza zaidi kuna wanafunzi wengine matokeo ni yao lakini hawayaamini anajua alichokifanya na jinsi matokeo yalivyokuja ni tofauti na makadirio yake.Mwingine alifanya mitihani kumaliza akatathmini akasema biology anaweza akapata C cha ajabu matokeo yanakuja ana B+.Ukiangalia wengi wanaobisha hapa ndio wahitimu wenyewe wa F6 2015 hawawez wakaelewa nini kinazungumzwa maana sasa wana furaha na matokeo ila muda utafika ndio watajua nini kinazungumzwa,wapo baadhi wanasema watu wana roho mbaya juu yao,wala hamna mwenye roho mbaya hapa jukwaani kwamba alitaka matokeo yawe mabovu au F6 wafeli kwa karibu 50% ya waliofanya mtihani,ila kila mtu ametoa mchango wake kulingana na alivyotathmini matokeo hayo na kuona wazi kwamba hayakustahili kwa kiasi hicho kuwa hivyo na mfumo huo ukiendelea utaharibu elimu ya hapa nchini.Wenyewe hawajiulizi mbona matokeo ya miaka ya nyuma hayazungumziwi? wapo watu humu wameshuhudia matokeo mengi ya necta kila mwaka na kulinganisha na mwaka huu kwa hiyo wanachoongea wanauzoefu nacho.Sasa wakiambiwa wanaanza kusema watu wana roho mbaya na wao mara nini....ila ni mtazamo tuu

Kwel kabisa mkuu na ukitaka kujua kwamba hata wao wenyewe waliotusua hawaelewi chochote kuhusiana na matokeo yao angalia majibu yao utasikia ooh roho mbaya,sijui ulitaga , sijui wivu,ooh hatupend maendeleo yao bila kujua hata sisi wenyewe tuna ndugu pia waliomaliza six mwaka huu...... Hawana maneno ya kushawishi hayo wanayoyatetea zaidi ya kutoa maneno ya dharau tu
 
End of the day msikariri , BRN au Zamani, ufaulu ni ufaulu tu, binafsi nafurahi sana ... Sababu mitihani ya kibongo unatungiwa ili ufeli.. Na wala sio kukupima ... Natamani A -leval waiondoe pia , maana jirani zetu wanaishia form 4 alafu chuo.

Sometimes mabadiliko yanahitajika , tulivo soma sisi miaka hiyo ni tofauti na miaka hii ya sasa ...

Kama unadhani miaka hiyo elimu ilikuwa nzuri one yako ndio iliyokuwa ya ukweli good for u.... Subiri uje uwahadithie wajukuu zako kuhusu enzi zetu...
 
Hakuna mtu anayekariri Njiwa...... Watu wamefaulu Sawa ni jumbo zuri Lakin ninachohoji ufaulu huu toka hii inayoitwa brn ianzishwe hakuna cha maana kiichoongezwa kwenye shule zetu hiz, miundombinu ni ile Ile tu sasa utitiri huu wa kutusua toka brn ianzishwe umetokana na nn kama sio siasa tu?
 
Mkuu Saydou naona unaongea kitu usichokifahamu vizuri...... Nimekuelezea kuhusu tuition, group work, kujituma umenielewa Sasa umekuja na matope hiyo ni kashfa anyway tuache hayo ya matope........ Nasema hujui unachoongea kwasababu hiyo C ya Zaman ni Sawa na B ya brn mkuu ambapo ukiwa nazo 3 ilikuwa ni 1.9 na si div 2 kama ulivyosema....... Ukifanya comparison ya grade za Zaman na Sasa unajua inamaanisha nn?..... Jibu ni kwamba elimu ya Zaman ilikuwa bora kuliko hii ya Sasa........ Na hizo D za Zaman 21,22,23 nk ndo C ya BRN kwa sasa..... Bado hujagundua kitu tu hapo mkuu?

Hakuna kitu kama hicho D za zamani kwenye BRN ni E na hazihesabiwi ukipata E inakula kwako ,sawa B- ya BRN ni sawa na C ya zamani
Lakini kinamba B plain ya BRN ni sawa na namba 3 ambayo haina tofauti na C ya zamani ambayo kinamba ilikua inahesabika 3

Ili mwanafunzi Wa BRN apate kufaulu vizuri kwa upande wa advance inambidi apate B+ tatu angalau watu watamzungumzia
 
Mkuu unaonekana ni mbishi by nature....... Hivi vitu viko wazi haina haja ya kubishana........ D ya BRN ni sawa na E ya Zaman ila C ya BRN ndo Sawa na D ya Zaman........ S ya Zaman ndo hiyo E ya BRN........ Pitia guidebook ya tcu utapata kuelewa ninachokueleza hapa.
 
Back
Top Bottom