TANZIA Elinaike O. Ulomi amefariki Dunia.

TANZIA Elinaike O. Ulomi amefariki Dunia.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji MAMA kipenzi.

Pole sana Mkurugenzi wa PANONE AND COMPANY LIMITED Kwa msiba huu mzito poleni wana familia wote MUNGU awape subra na awape utulivu wa nyoyo Kwa kipindi hiki Cha majonzi.
IMG-20240525-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom