mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Naunga mkono.Wewe nimeona ni malaya. Sina la ziada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono.Wewe nimeona ni malaya. Sina la ziada.
Why according to me and not according to a respectable world body of athletics?What is a marathon according to you?
Riadha naona ni mchezo wa kitumwa bwenyenye limekaa ana angalia unavyo kimbia
Swali lako nimelijibu.Heheeeee!!mbna basi iaaf wamempongeza...
Jibu swali langu kwanza, no.4 ba 5 katika marathon kulingana na akili zako ai huaga baridi haiwapati kwa sababu ya wale watatu walioko mbele katika kikundi cha kwanza...
Mbna basi huaga hawashindi na wakati wenzao wanapasua upepo hku wao wakiwa nyumba km wasindikizaji katika kundi[emoji1787][emoji1787]
Hakuna chama cha riadha cha kimataifa kinachoitambua hii kama world record.
Hao wa 4 na 5 huwa hawa arrange a deliberate set of people to run ahead to give them an advantage against the wind.
This is like doping. No difference.
Siwezi kuwa na jealousy na mtu ambaye si competitor wangu, mimi sinmwanariadha, sasa jealousy itaanzia wapi?
Hizo zako nazo ni sindano yaani ungejua namna ninavyo kuignore hata usinge ongea hivo😂😂😂Kamati ya roho mbaya...naona umenichukia sana kw sababu huaga nakuchoma sindano kali kali sana
This is not a marathon record.Heheeeee!!umeanza lini kuangalia marathon jomba...
Manake naoma nimekukamata...hawa arrange watu lkn vile vile kuna wenzao wanne wako mbele yao..lkn hvo hvo wanashindwa hku wenzao wakipasua upepo[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mimi mwenyewe Mmarekani na sijawahi kumuita Mmarekani beberu.
Usikariri nyambafu wewe.
Swali lako nimelijibu.
Wewe kwanza unaelewa tofauti ya baridi na upepo?
Unajua Kiswahili?
Currently yeye ndo anashikilia record ya dunia ya 42.2km alikimbia in 2hrs 2min. He's the greatest of all time.Kumbe ataandika historia na sio kuvunja rekodi....na hii ni kwasababu anakimbia mwenyewe na pia uwepo wa pacemakers ambao wanaingia na kutoka. Ila all in all inatuweka vizuri wanaafrika mashariki kwenye uso wa dunia hususan kwenye michezo.
Soma article ya New Yorker on the subject.Na ndio nakuliza ni upepo gani ulizuiliwa hapa[emoji23][emoji23] View attachment 1230623View attachment 1230624
This is not a marathon record.
There is no international body of athletics that recognizes this as a record.
It is more like doping.
Wakenya wetu hapa ukiwaambia ukweli huu wanakasirika.Kumbe ataandika historia na sio kuvunja rekodi....na hii ni kwasababu anakimbia mwenyewe na pia uwepo wa pacemakers ambao wanaingia na kutoka. Ila all in all inatuweka vizuri wanaafrika mashariki kwenye uso wa dunia hususan kwenye michezo.
Hizo zako nazo ni sindano yaani ungejua namna ninavyo kuignore hata usinge ongea hivo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuuliza tu vizuri kwani huwa hauwezi kubishana kwa kuficha matusi kwa kutumia tafsida.
Haya ni matangazo ya biashara, si rekodi ya riadha.Watu billioni mbili watakuwa macho kushuhudia. Again Kenya is on the map as usual.