Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Who is that man?

Yaani jamaa yangu Kada mwenzio wa CCM humjui, KIPCHOGE ni jamaa yuko Lumumba pale nafikiri ndio mmoja wa think tank wa chama...... hahahahah utani tu ndugu yangu, huyu ni mkimbia riadha kutoka kenya ambaye siku za karibuni ikiwemo jana amevunja records za mbio ndefu..
 
Ile ya AUSTRIA jana aliwaacha mbali sana wenzie na kuvunja record ya dunia, dah jamaa anastahili tuzo zaidi ya ile aisee anawakilisha Africa kwenye riadha.. WABONGO TUNASHINDWA WAPI? MAANA HATUNA MCHEZO TUNAOONGOZA.
Jana au leo mkuu?
 
Juhudi za mhesshhimiwa rais Magufuli chini ya awamu ya 5 ndo mana kipchonge ananfanyaa vyema
 
Ujue wanaumia sn kwa ako kaneno ka kusaidiwa asipigwe na upepo
This is not a marathon record.

Soma articles za CNN na The New Yorker nimeweka links hapo juu.

Hizi mbio hazitambuliwi kwa sababu ameweka watu wa kumsaidia asipigwe upepo.

It is not a natural marathon.
 
Yaani jamaa yangu Kada mwenzio wa CCM humjui, KIPCHOGE ni jamaa yuko Lumumba pale nafikiri ndio mmoja wa think tank wa chama...... hahahahah utani tu ndugu yangu, huyu ni mkimbia riadha kutoka kenya ambaye siku za karibuni ikiwemo jana amevunja records za mbio ndefu..
Mkuu nawewe umehadithiwa...sio jana ni leo
 
Huku Bongo sipati Picha yaani CCM nazani wakina Polepole wangekuwa kila Dakika wanafanya Press na kusema huyo anaiwakilisha CCM.

Sijasikia Mkenya akisema eliud kipchoge anawakilisha chama fulani.

CCM jifunzeni kutoka kwa Eliud kipchoge. Pale anawakilisha nchi sio Chama
NA amemshukuru Mungu tu na familia yake na wakenya kwa ujumla, hapa Bongo mtu kajimwambafy yaani hata sisi wanawake tukipewa ujauzito utaskia nashukuru serikali imekuwwezesha kunipa ujauzito
 
Inawezekana Alfred Nobel aliisahau hii category ya kukimbia, sambamba na Fizikia, Kemia, Medicine, walipaswa waongeze mbio na stahmili, ...
Hi ina nikumbusha mwl wanting was philosophy wakati nasoma kulikuwepo na post doctoral presentantion juu ya amani na aliyekuwa anapresent alizungumzia amani kwa nchi za mashariki ya mbali mwehu wangu huyu na mwl wangu aliykiza swali kwanini presentation hii Tanzania wakati ilitakiwa ifanyike huko Syria, sudan na kwingineko ili presentation hiyo ilete amani katika nchi hizo.
 
Akapimwe mikojo kwanza kabla hajapewa zawadi
simba vs yanga lini mkuu?
FB_IMG_1550356639957.jpg
 
Kukimbia na.amani wapi na.wapi ndg yangu lakini wazo lako ni zuri kwamba mkimbiaji huyo baada ya kushinda furaha anaileta katika jamii hii NI baada ya kutafakari kwa kina.
Hi ina nikumbusha mwl wanting was philosophy wakati nasoma kulikuwepo na post doctoral presentantion juu ya amani na aliyekuwa anapresent alizungumzia amani kwa nchi za mashariki ya mbali mwehu wangu huyu na mwl wangu aliykiza swali kwanini presentation hii Tanzania wakati ilitakiwa ifanyike huko Syria, sudan na kwingineko ili presentation hiyo ilete amani katika nchi hizo.
 
ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2
pongezi za dhati ziende kwa rais wa awamu ya tano mheshimiwa dr. john magufuli kwa kumuwezesha ndg kipchoge kushinda mbio na kuvunja record.
IMG-20191012-WA0008.jpeg
 
Hiyo record yake hata shirika la riadha la dunia haliitambua itakuwa huko kwa wakina Nobel
Inawezekana Alfred Nobel aliisahau hii category ya kukimbia, sambamba na Fizikia, Kemia, Medicine, walipaswa waongeze mbio na stahmili, ...
 
Back
Top Bottom