Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe nyang'au jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kunikaribia.
"Wivu ndo inakusumbua" ni Kiswahili gani hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nyang'au jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kunikaribia.
Watanzania na wivuView attachment 1230662
Kweli jamii forum kuna watu wa ajabu ajabu kiwango cha lami
Sasa unafiki wangu ulikua wapi apo kwenye post yangu?
Na kwanini nione aibu?
Kuwa japo na fikra chanya kidogo,nilichokifanya ni kujaribu kukuwekea picha ya uhalisia wa umbali anaotakiwa kukimbia na kwa kutumia mda gani...
Pengine yawezekana hata wewe ulivyosikia 42km/2hrs haukuelewa ugumu wake kiuhalisia, mpaka nilivyokuchambulia kwa mapana ndo ukaona ugumu...
Baada ya kukuchambulia na kufaham ugumu wake unatakiwa unishukuru kwa kukuongezea chachu ya kumuangalia kama kweli ataweza au laah!!
All in all jamaa ni mwamba na anastahili pongezi ..Yeees ameweza!!!
N.B
Analysis yangu na calculation iliyonipa umbali wa 5.8km kwa sekunde,nili assume kama atakimbia uniformly speed from the start to the end.
Lakini watu wa riadha tunajua technical zetu hasa hizi mbio za marathon,hapa kuna kitu tunakiita 'splitting time'.Acha niishie hapa nisije kukuchanganya bure maana wengine ubongo wenu ni mzito kuelewa.
Hahaha [emoji23][emoji23], ccm mbele kwa mbelepongezi za dhati ziende kwa rais wa awamu ya tano mheshimiwa dr. john magufuli kwa kumuwezesha ndg kipchoge kushinda mbio na kuvunja record.
View attachment 1230669
ukweli wa mambo..Ndiyo ukweli wa mambo.
Na hii ndiyo sababu hakuna respectable international athletics body inayoitambua hii time kama a world record.
Wakenya wanaketa habari za "My country, right or wrong".
kiranga waonee huruma wakenya. hoja zako zitawafanya wapasue device zao wanazotumia kuingia jf.
punguza kuwabana pls. acha wapumue kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
Elewa tuu
To some of them, its a constant pain living under kenyas shadow
When ccm tells you you're in the best nation this side of the sahara and you believe them, then some random country up north keeps winning in something new every few days,
If you have a low IQ, wont you grow jealous and start to talk shiet about them to justify your own failures ..
Napenda kusimamia fact.Hehehe!! Wee jamaa lakini, ila huwa nafuatilia unavyopenda kuwa pain in the ass kwa wote, sio kwa Watanzania wala Wakenya, una hulka ya kuchagua popular thread, kisha unatafuta jinsi ya kukinzana na maoni ya wote.
Haya bwana....
Unafiki ni kupinga km hatoweza kufanikisha...lkn ulivyokua mnafiki ukajifanya umekuja na analysis na mwisho ukaonyesha kabis ahawezi make it...
NO HUMAN IS LIMITED
Wewe sio Mkalenjin acha kelele nyingi. Lazy Kikuyus can't run marathon.
MK254 jirani Kipchonge amefanana na Wamang’ati wa kule Katesh. Tumfanyie DNA test
Analysis yangu ndo imekuonyesha ivyo,kuwa hatoweza!! na wala hamna sehemu niliosema kuwa hawezi.
Na nimefanya analysis iyo ili kuwapa watu picha halisi ya utamu wa tukio lenyewe!!
wengi mnasikiaga tu rekodi za marathon lakin hampati picha ya ugumu wa tukio
mimi pia ni mkimbiaji,naelewa ninachokiandika
Through analysis ikakuonyesha kabisa ni kama vile haiwezekani 5.8km kwa sekunde!!
Lakini I know by experience, thruogh marathon splinting technique inawezekana lakini sio kirahisi!!
hata ukitaka nikuelezee na kukuchambulia the way eliud alivyowin nitakuchambulia
Ukitaka uendelee kubishana tu bila mantiki,then kila la kheri na ubarikiwe pia.
Hiyo sub 2 hrs marathon record inatambuliwa na world athletics body gani?ukweli wa mambo..
Eliud kipchoge ni world record holder kwa men's marathon na pia ni first man to do sub 2hrs kwa marathon...hizo zingine ni Semantics..TAKE NOTHING FROM THAT MAN, he is a legend..greatest of all time..
Aaaweeee!!!
Nilijua tu, ulikuja vile ndio ili hata akifanikisha ujifanye unajua mengi kuhusu mbi...
Eti mpka ukaandika "5m per sec"
That is the point. Hiyo inaitwa "average"haimaanishi kwamba kila mguu aliokuwa ananyanyua na kuutua basi alikua anacover metre 10 ndani ya sekunde no!!
OlympicHiyo sub 2 hrs marathon record inatambuliwa na world athletics body gani?
Hivi ni kweli kipchoge ana miaka 34 tu !!!!! ???? ni macho yangu au nae anatumia maji ya mende kwa sana