Who is that man?
Jana au leo mkuu?Ile ya AUSTRIA jana aliwaacha mbali sana wenzie na kuvunja record ya dunia, dah jamaa anastahili tuzo zaidi ya ile aisee anawakilisha Africa kwenye riadha.. WABONGO TUNASHINDWA WAPI? MAANA HATUNA MCHEZO TUNAOONGOZA.
Hatuna wivu hata ndugu unajishtukia tu bure,Watanzania na wivuView attachment 1230662
This is not a marathon record.
Soma articles za CNN na The New Yorker nimeweka links hapo juu.
Hizi mbio hazitambuliwi kwa sababu ameweka watu wa kumsaidia asipigwe upepo.
It is not a natural marathon.
Mkuu nawewe umehadithiwa...sio jana ni leoYaani jamaa yangu Kada mwenzio wa CCM humjui, KIPCHOGE ni jamaa yuko Lumumba pale nafikiri ndio mmoja wa think tank wa chama...... hahahahah utani tu ndugu yangu, huyu ni mkimbia riadha kutoka kenya ambaye siku za karibuni ikiwemo jana amevunja records za mbio ndefu..
Jana au leo mkuu?
NA amemshukuru Mungu tu na familia yake na wakenya kwa ujumla, hapa Bongo mtu kajimwambafy yaani hata sisi wanawake tukipewa ujauzito utaskia nashukuru serikali imekuwwezesha kunipa ujauzitoHuku Bongo sipati Picha yaani CCM nazani wakina Polepole wangekuwa kila Dakika wanafanya Press na kusema huyo anaiwakilisha CCM.
Sijasikia Mkenya akisema eliud kipchoge anawakilisha chama fulani.
CCM jifunzeni kutoka kwa Eliud kipchoge. Pale anawakilisha nchi sio Chama
vijana wa lumumba wanajua maradhon ni kuzunguka chamwino, mambo ya full and half maradhon hawajuiWhat is a marathon according to you?
Uko wapi? Maana hayajapita masaa 6Nilipo ni jana..hahahahaha siunajua tena kila mtu JF yuko ughaibuni!
Hi ina nikumbusha mwl wanting was philosophy wakati nasoma kulikuwepo na post doctoral presentantion juu ya amani na aliyekuwa anapresent alizungumzia amani kwa nchi za mashariki ya mbali mwehu wangu huyu na mwl wangu aliykiza swali kwanini presentation hii Tanzania wakati ilitakiwa ifanyike huko Syria, sudan na kwingineko ili presentation hiyo ilete amani katika nchi hizo.Inawezekana Alfred Nobel aliisahau hii category ya kukimbia, sambamba na Fizikia, Kemia, Medicine, walipaswa waongeze mbio na stahmili, ...
simba vs yanga lini mkuu?Akapimwe mikojo kwanza kabla hajapewa zawadi
Ndiyo ukweli wa mambo.Ujue wanaumia sn kwa ako kaneno ka kusaidiwa asipigwe na upepo
Hi ina nikumbusha mwl wanting was philosophy wakati nasoma kulikuwepo na post doctoral presentantion juu ya amani na aliyekuwa anapresent alizungumzia amani kwa nchi za mashariki ya mbali mwehu wangu huyu na mwl wangu aliykiza swali kwanini presentation hii Tanzania wakati ilitakiwa ifanyike huko Syria, sudan na kwingineko ili presentation hiyo ilete amani katika nchi hizo.
pongezi za dhati ziende kwa rais wa awamu ya tano mheshimiwa dr. john magufuli kwa kumuwezesha ndg kipchoge kushinda mbio na kuvunja record.ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2
Inawezekana Alfred Nobel aliisahau hii category ya kukimbia, sambamba na Fizikia, Kemia, Medicine, walipaswa waongeze mbio na stahmili, ...