Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Jamaa ndio anashikilia records zote sasa unabisha ili iweje,mwenzako dunia yote ilikua ina mwangalia leo zaidi ya hapo kapelekewa private jet!!..bado unabisha tu
Nabisha nini?
 
Wacha kelele nyingi. The point remains that Eliud kipchoge is the first human being on Earth to run a distance of 42km in less than 2hrs .
The devil is in the detail.

Kwa nini muda huu hautambuliwi kama a world record na chama chochote cha mbio za riadha duniani?
 
This is not an IAAF record.

Wamempongeza tu kama watu wanavyompongeza JF.

Unabisha?

Kipchoge ametengeneza artificial conditions za kumsaidia kushinda.

This is not a natural marathon.
Nyie wabishi wa asili
 
Acha kulia basi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujajibu ulichoulizwa na ulichojibu sijauliza.

Unataka kulazimisha masturbationniwe coitus.

Kama mnakubali hii record, kwa nini msikubali doping pia?
 
Nyie wabishi wa asili
Ubishi ni kulazimisha Kipchoge ana sub 2 hrs marathon record bila kutuambia inatambuliwa na world athletics body gani.


Jamaa amefukuza upepo juu ya kufukuza upepo.
 
Hujajibu ulichoulizwa na ulichojibu sijauliza.

Unataka kulazimisha masturbationniwe coitus.

Kama mnakubali hii record, kwa nini msikubali doping pia?
Tena umechange topic to doping? [emoji23][emoji23][emoji23]kweli wewe ni chizi
 
Aiseee dahh ni sheedah mazeee...jamaa anatupiga promo ya hatareeeee, ila dah kwa wenzetu naona safari tv inawaonesha wahdzabe wakikula kobee!!😁🐸
Heri wanaokula na kupata afya kuliko anaye kimbiza upepo .😂
 
Tena umechange topic to doping? [emoji23][emoji23][emoji23]kweli wewe ni chizi
Sijachange topic.

Nimekuuliza hiki alichofanya Kipchoge kina tofauti gani na doping?

Hujajibu swali.
 
Haya hayakuwa mashindano kwasababu alikuwa anakimbia mwenyewe hivyo hakukuwa na competitors.
Sasa kama hakukuwa na competitors na mashindano haya hayajawahi kufanyika kwa settings hizi, anavunja record gani?

Kaanzisha mchezo mpya wa kukimbia, atakavyokimbia vyovyote ni record katika mchezo huo.

The notion of this being a record is a tautology.

Ndiyo maana vyama vya mbio za riadha haviitambui hii kama a marathon record.

It may be a salesmanship record though.
 
Lots of congrats be upon Kipchoge. He has made it. He is a historical and unfogettable warrior of all times.

A silly person will deny this.
 
LMFAO .... trying to sound intelligent while you are dump AF ..i guess it's your first time to hear about pacemakers in Marathon.🤣🤣
ati ''car following him ''.
 
Ubishi ni kulazimisha Kipchoge ana sub 2 hrs marathon record bila kutuambia inatambuliwa na world athletics body gani.


Jamaa amefukuza upepo juu ya kufukuza upepo.
I can feel your pain .🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…