Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nabisha nini?Jamaa ndio anashikilia records zote sasa unabisha ili iweje,mwenzako dunia yote ilikua ina mwangalia leo zaidi ya hapo kapelekewa private jet!!..bado unabisha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabisha nini?Jamaa ndio anashikilia records zote sasa unabisha ili iweje,mwenzako dunia yote ilikua ina mwangalia leo zaidi ya hapo kapelekewa private jet!!..bado unabisha tu
The devil is in the detail.Wacha kelele nyingi. The point remains that Eliud kipchoge is the first human being on Earth to run a distance of 42km in less than 2hrs .
Nyie wabishi wa asiliThis is not an IAAF record.
Wamempongeza tu kama watu wanavyompongeza JF.
Unabisha?
Kipchoge ametengeneza artificial conditions za kumsaidia kushinda.
This is not a natural marathon.
Hii sio mada ya kujadili, ni mada ya kutoa pongezi,Haya rejea kwenye mada basi tujadili...
Hujajibu ulichoulizwa na ulichojibu sijauliza.Acha kulia basi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ubishi ni kulazimisha Kipchoge ana sub 2 hrs marathon record bila kutuambia inatambuliwa na world athletics body gani.Nyie wabishi wa asili
Tena umechange topic to doping? [emoji23][emoji23][emoji23]kweli wewe ni chiziHujajibu ulichoulizwa na ulichojibu sijauliza.
Unataka kulazimisha masturbationniwe coitus.
Kama mnakubali hii record, kwa nini msikubali doping pia?
Heri wanaokula na kupata afya kuliko anaye kimbiza upepo .😂Aiseee dahh ni sheedah mazeee...jamaa anatupiga promo ya hatareeeee, ila dah kwa wenzetu naona safari tv inawaonesha wahdzabe wakikula kobee!!😁🐸
IAAF imemtambua ndio maana wamemcongratulate.Ubishi ni kulazimisha Kipchoge ana sub 2 hrs marathon record bila kutuambia inatambuliwa na world athletics body gani.
Sijachange topic.Tena umechange topic to doping? [emoji23][emoji23][emoji23]kweli wewe ni chizi
Unaelewa sijazungumzia kumtambua, nazungumzia kuitambua hii time yake kama world record?IAAF imemtambua ndio maana wamemcongratulate.
Haya hayakuwa mashindano kwasababu alikuwa anakimbia mwenyewe hivyo hakukuwa na competitors.Niambie ni rekodi gani ilishawekwa yenye anavunja leo na uliwekwa na nani
Sasa kama hakukuwa na competitors na mashindano haya hayajawahi kufanyika kwa settings hizi, anavunja record gani?Haya hayakuwa mashindano kwasababu alikuwa anakimbia mwenyewe hivyo hakukuwa na competitors.
Duh! Pongezi nyingi sana kwake na timu nzima ya Kenya kwa utayari wao kimichezo. Sijui sisi tunateleza wapi kwakweli.
Sorry guys i have to retract my congratulations https://www.standardmedia.co.ke/spo...vienna-will-not-be-recognised-as-world-recordMara ya kwanza hili jitu kupongeza Wakenya. Hongera zako kwa kuwa na utu.
LMFAO .... trying to sound intelligent while you are dump AF ..i guess it's your first time to hear about pacemakers in Marathon.🤣🤣Napenda kusimamia fact.
Ukisimamia fact huwezi kuchagua upande wa Kenya au Tanzania.
Kwa sababu pande zote zina nationalistic jingoism and propaganda bullshit.
Ndiyo maana kwa Watanzania huko watu wengi hawanipendi kwa sababu namsema vibaya Magufuli. Mungumtu wao.
Sasa ukiona unatetea Kenya kila siku, au unatetea Tanzania kila siku, hapo ujue kuna siku una sacrifice fact for the sake of political expediency disguised as nationalism.
I like to quote Einstein on nationalism.
"Nationalism is an infantile disease, it is the measles of mankind".
Kipchoge is a great athlete. He has a very good and world recognized record. I am not trying to say anything against his legitimate record. I am not saying he is not a great athlete. Far from it.
What I don't like is passing this masturbation as proper coitus, a proper marathon.
When praising him, let all facts be known, including the fact that this is not a conventional marathon, he had pacemakers assistance, car following him, he had the advantage of some control against the wind.
He set the bar low by having these artificial advantages. To me, this is pretty much like doping.
If one allows this, why not allow doping also?
I can feel your pain .🤣🤣Ubishi ni kulazimisha Kipchoge ana sub 2 hrs marathon record bila kutuambia inatambuliwa na world athletics body gani.
Jamaa amefukuza upepo juu ya kufukuza upepo.