Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Sasawa CCM...
Kipchoge ametekeleza ilani ya chama cha mapinduzi[emoji1787][emoji1787]
Hii kw juhudi za ccm..
CCM hoyeeee

Ameendeleza ubabe wa Wakalenjin kwenye marathon. Nyie Wakikuyu endeleeni na juhudi zenu za kupekejeng mbwa na wizi.
 

"I wanted to run under two hours to tell kenyans that you can step out of the door, think positively, do what is required, earn a good life and together we can make this world a running, beautiful and peaceful world"
 
Tatizo ni kwamba..ilkuwa huamini km ata make it...lkn ulikuja kinafiki, ndio uwache basi, manake unafiki haumfai mwanaume..
Imenibidi nicheke tu mzee baba...kwaiyo huamini kamba kwa umbali ule na mda aliotumia ni sawa ni 5m per sec ama nini?
Mind u,iyo splinting rate ya 5m per sec ni by assumption kwamba alikuwa anakimbia constatnt speed mwanzo mpaka mwisho.
 
Hii ni ccm bana...
Chadema mbna mna wivu hivi...maendeleo hayana chama bana...kwanza nakushuku uraia wako...
Manake wewe huna uzalendo kabisa
Ameendeleza ubabe wa Wakalenjin kwenye marathon. Nyie Wakikuyu endeleeni na juhudi zenu za kupekejeng mbwa na wizi.
 
Bottom line, popote utakaposoma, this is not a marathon record.

Ni matangazo ya biashara za watu tu.
Jamaa ndio anashikilia records zote sasa unabisha ili iweje,mwenzako dunia yote ilikua ina mwangalia leo zaidi ya hapo kapelekewa private jet!!..bado unabisha tu
 
Kuna mtu alikuwa anasema eti Kipchoge anazuiliwa upepo[emoji23][emoji23]
IMG_20191012_150109.jpeg
 
Ss mkuu unaposema hivyo unakuwa unakosea mana wazungu hao hao ndo waliotoa ndege yao ili jamaa akafanye hayo matangazo ya biashara zao na ndo hao hao wanaompamba ili kuvutia zaidi wawekezaji [emoji23][emoji23]
Munaowaabudu wazungu ndo mujue kama hawapendi kuona wa Afrika wanafanya vizur, eti rekodi hsitatambuliwa kwan kukimbua c ndo kulekule au hamna wanachogombania hapo ?. Angekuwa mzungu unazani wangesema rekodi hiyo haitatambuliwa?
 
Hiyo sub 2 hrs marathon record inatambuliwa na world athletics body gani?

Wacha kelele nyingi. The point remains that Eliud kipchoge is the first human being on Earth to run a distance of 42km in less than 2hrs .
 
Back
Top Bottom