Eliud Kipchoge ni nani mpaka Ronaldo amemfollow Instagram

Eliud Kipchoge ni nani mpaka Ronaldo amemfollow Instagram

Unafikili kwann bongo kupata followers ni rahisi sana
Mbongo wanaopata Followers wengi ni watu wa Udaku, au wanaotengeneza Kiki... Nigeria ina raia Million 200, sisi Bongo tunaingia kwao Nigeria mara 4 tukiwa na Raia million 60, lakini Wasanii wengi wa Nigeria walikuwa wanazidiwa followers na wasanii wa Tanzania.

Asilimia kubwa ya Wabongo tunapenda kufatilia mambo ya Kijinga kuliko kufatilia Maendeleo ya Nchi. Ndio maana kijana wa leo atakutajia List ya wasanii wa Tanzania na page za udaku, hila ukimuuliza kuhusu serikali yake hajui chochote.
 
Anakimbia huyoo mpaka visigino vinagusa kichogo chake kile na huko Kenya tv za chogo zimepewa jina lake mana anakijimtambo flani amaizing
 
Bongo kupata followers wengi sio kazi ngumu kama ukiwa na content za kufurahisha waswahili hasa za kuwapa umbea umbea wakuongelee.

Kuna watu kibao marekani wana majina makubwa sana usa. Ila wanazidiwa idadi ya followers na wabongo kina mobetto.

Ndio maana mitandao mingi CPM za views wanalipa kutokana na location ulipo.

Msanii akipata views millioni 1 wa watu walio majuu anapata hela nyingi kuliko akipata views milioni 10 za watu walio bongo. Sababu wanajua nchi zetu zimejaa wajinga wengii wata wakifollow ama kutazama kitu kwa wingi bado hawana effect
Soma hapa we Mpwayungu Village uelewe!
 
Wewe Mpwayungu wewe....
Unamjua au kumfuatilia Kipchonge vizuri kweli hadi useme siyo maarufu..Ngoja watu wa Athletes waione hii...

Anyway...Nenda hapo Google kamsome vizuri.
Kwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angekuwa maarufu kihivyo basi asingezidiwa followers na umber lulu
Huyo amber wako kuna mtu gani wa maana duniani kamfolow?.Hii mitandao inavyotumika uku kwenye nchi zetu nyeusi na nchi nyeupe ni tofauti sana.Kwahiyo jipe muda ufikirie vizuri utajua hao watu wawili ni mbingu na ardhi kwenye maisha halisi nje ya mitandao unayobabaika nayo kisa followers.
 
Eliud Kipchoge sio Ronaldo tu, Serena Williams, Caroline Wozniak, Rais wa Jamhuri ya Tanzania na wengine wengi wenye akili.
 
Back
Top Bottom