Eliud Kipchoge Vs Usain Bolt nani zaidi: Analysis

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Jana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!

Usain Bolt wa Jamaica na Eliud Kipchoge wa East Africa ni wababe wawili wa kukimbia duniani. Bolt ambaya amestaafu karibuni alikuwa bingwa wa kukimbia mbio fupi aliyeweka record na pia Kipchoge wa East Africa ni bingwa wa marathion aliyeweka record hivi karibuni.

Usain Bolt’s record yake katika mita 100-ni at 9.58 seconds wakati Eliud Kipchoge’s record yake katika marathon ya ni 1:59:40.

Kama tukijaribu kufananisha hypothetically, kwa Usain Bolt kusustain same speed kwa mbio za marathon inamaanisha angeweza kumaliza marathon ndani ya 1:07:22 (Almost nusu ya muda wa KIPCHOGE)! Je hii inamaanisha nini? BOLT ni zaidi ya KIPCHOGE?

HAPANA Haimaanishi hivyo, Marathon is not all about super speed, but kusustain na kukimbia umbali mrefu tofauti na mbio fupi ambazo BOLT ameweka record. Kwa hiyo watu hawa wawili ni mabingwa katika mbio lakini huwezi sema yupi ni zaidi ya yupi. Kila mmoja ni mzuri katika umbali wake.

..
 
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
 
Yaani gari inatembea 21km kwa saa nzima
Mkuu una uhakika kuwa ni gari hiyo au punda
 
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
Yaani kila lisaa limoja inaenda kilometer 21 tu? Au dakika 20 inaenda kikometre 7 tu? Tuseme kwa hapa Dar Umbali wa Posta mpaka Makumbusho kweli? Ni barabara ya aina gani hiyo? Au foleni Sana nini?
 
HUo utakua mkokoteni na sio gari. Moshi to Arusha ni KM 80 ukienda na gari unatumia 1 hr. So how come km 42 for 2hrs?
 
Wote hawanizidi mimi

Enzi nzangu za ujana nishawahi enda kutongoza mtoto wa sheikh akafungulia mbwa

Bwana bwana wee... Nlkimbia km 30 kwa lisaa

Amini nawaambia 😁
 
Marathon technique zake ni tofauti na mbio fupi sasa hatuna uhakika kama kipchoge angehimili mbio fupi.Mi naamini mbio fupi ni ngumu zaidi kuliko marathon.Mbio fupi zinataka akili.Kosa la ubongo wako,ukilisahihisha ndani ya sekunde tayari u akuwa ushapigwa bao na wenzio.Ila marathon ni mazoezi ya pumzi zaidi kuliko spiidi.wengi huwa wanashindwa kwa kuwa kifua kinabana na wanasarenda.Ila huku kwenye mbio fupi ni akili zaidi inafanya kazi.Kama akili yako ukihamisha kidogo tu umefail.
 
kaka tena hizo ni kosta hii SIYO hadithi ya kusadikika uliza MTU yeyote aliewahi kusafiri route hii atakuambia

Ungetuambia na speed ya gari labda kidogo ningeshawishika na hii theory
Au police wapo kila km wanasubiri fines
 
Yaani kila lisaa limoja inaenda kilometer 21 tu? Au dakika 20 inaenda kikometre 7 tu? Tuseme kwa hapa Dar Umbali wa Posta mpaka Makumbusho kweli? Ni barabara ya aina gani hiyo? Au foleni Sana nini?
huku hakuna foleni chief labda ndivyo kulivyo umbwa ...teh
 
Back
Top Bottom