mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
yaani bado unaendelea kunikosea tu..naandaa mashitaka yako hapa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa kutambua hilo.... Ruttashobolwa yuko km tiara...yan yupoyupo tu hajui asemalo wala afuatalo hahahahaaa
Cc mkewe Passion Lady
my akanana Passion Lady.huyo msamehe tuu kwanza kalazimisha uenyekiti hakuna aliyemchagua, kifupi hatambuliki.
Unataka kujiunga??na hiyo SACCOS??mshenga ulishasajili SACCOS yako ya wanawake
Mie sijambo.
Napetiwa hapa na my huz tedo.
My huz mwingine Ben Saanane kaenda kwenye mkutano, Chilli katoka, Remote kasafiri, Chibolo yuko shamba.
Arushaone ananibembeleza turudiane.
Ruhazwe JR yuko kwa mamake Mamndenyi.
Hali yangu nzuri sana na ka mimba kangu.
Nitume mimi baba paroko...nitume mimi!
Andaa umpe Ruttashobolwa asimamie kesi yakoyaani bado unaendelea kunikosea tu..naandaa mashitaka yako hapa..
Hahaha
alokuwambia nayo kazi nani?
Kazi hutokwi jasho?
cousin kuna nini kwani? Mbona wamtia masingi kaka binamu? Vibaya hivyo jamani hebu msamehe maana akawii kumwaga chozi mwanaume yule.
Huyu kaka yako anatuombea mema sana naona.....