Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Hamisa maji thread ya Lulu anaezungumzwa hamisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]....!!!llohhh

Kwa umalaya wake , alivyokua anajishaua anatoka na diamond wakat diamond alikua na zari si Alitaka kuongelewa , ndo tunamuongelea sasa , boss wenu anatia huruma jamani, huku diamond hamtaki, kadhalilishwa uchawi, anahaha kodi ya nyumba hataki kuhama ghorofa kisa atachekwa🤣🤣🤣, boss wenu yamemkuta, kutaka kujifanya zari wakati hana mbele wala nyuma , wanaume wote wamemkimbia
 
Irene naye yumo kwenye wivu yeye si ana mme tayari na alishawahi funga ndoa ngoja na wenzie waonje maisha

Tatizo sio mume tu , tatizo mume mwenye pesa 🤣🤣🤣, Sasa dogo janja pale kaoa au kaolewa , irene yuko zake zenji sasa hvi anadanga , dogo janja analea mtoto , Leo mastaa watalia na kusaga meno🤣
 
Sahivi hadi naongea kikenya ha ha ha haaaaaa

Ila binamu acha utani , misa lazima achanganyikiwe, yupo kwenye hali ngumu sana , mi Toka nisikilize ile voice note akilalamika diamond hampost ila akiwa na wanawake wengine anawapost, na kuwa a naona aibu kodi imeisha akihama ghorofani atachekwa, yani kumbe anaishi maisha ya kuigiza , na alivyokua anajishaua amezaa na matajiri wakat hata kodi ya mil 2 inamshinda

Ila wanawake ndo mjifunze somo , what goes around comes around , alijisifia kuwaachanisha zari na domo , yeye ndo kadhalilishwa mpaka na uchawi , mwanamme kadate na wewe miaka kumi hata kukupost bahati mbaya au kusema kuwa unadate nae anaona aiibu , misa inabidi tu aokoke
 
Okay aendelee kutafuta ndoa kwa waganga ha ha ha

Ila nikisikiliza ile voice note mpaka namuona huruma , shida zimemjaa hamisa , halafu akija insta utasema hana tatizo hata moja , dah maisha haya , inabidi tu ajipange upya , bado mdogo , maisha ni Kuishi na kujifunza
 
Write your reply...Dina anajionaga anajua kila kitu hapendagi kukosolewa kabisaa. na ukimzidi kidogo tu kosa yaani yeye awe juu siku zote ndiyo mtaelewana.
Dina huyu huyu....!!!kumbeee!!!ndo maana!
Looh!kaolewa Zamaradi yeye bado
 
Hivi huyu ndiye lulu yule yule wa kipindi kile au huyu ni old model?
Ndo huyu huyu..kaamua kujiongeza Lulu bwana akipataga bwana wa maana anatulia Sana...hata alivyokua na seki alituliaa!!!
 
Hee...kumbe umdhaniae ndiye kumbe siyee!!!
yaani nlibaki nashangaa tu,nlikua namuona wa tofauti sana,nikabaki najiwazia ndo maana walikorofishana na zama maana wote wajuaji walikutana [emoji1]
 
Kwa umalaya wake , alivyokua anajishaua anatoka na diamond wakat diamond alikua na zari si Alitaka kuongelewa , ndo tunamuongelea sasa , boss wenu anatia huruma jamani, huku diamond hamtaki, kadhalilishwa uchawi, anahaha kodi ya nyumba hataki kuhama ghorofa kisa atachekwa🤣🤣🤣, boss wenu yamemkuta, kutaka kujifanya zari wakati hana mbele wala nyuma , wanaume wote wamemkimbia
Achana na utimu bwana!!!haijalishi kafanyaje au kafanyaje!!kati yake na Zari hakuna aliyeolewa hata mmoja...so kumsema hamisa ni chuki!!!

Tujifunze kua na nyoyo za kurudi nyuma binamu...ukimchukia mtu yaani unakua na hasadi Sanaa...

Hapa anazungumziwa Lulu..hamisa alishaachana na majizooo mpk kuzaa na diamond Leo akiumia si atakua kichaa...!!!

Hakuna mwanaume wa kwako peke yako,labda umbumbe wako!

Daimond sio mtoto na hakua kaoa... So mnaosemasema nawaona kama vile mnatetea Zinaaa tuuu!!!
 
Tatizo sio mume tu , tatizo mume mwenye pesa 🤣🤣🤣, Sasa dogo janja pale kaoa au kaolewa , irene yuko zake zenji sasa hvi anadanga , dogo janja analea mtoto , Leo mastaa watalia na kusaga meno🤣
Ishu ndoa bwanaa!!ingekua pesa shilole asingeoa,au fey tanzania
 
Ila binamu acha utani , misa lazima achanganyikiwe, yupo kwenye hali ngumu sana , mi Toka nisikilize ile voice note akilalamika diamond hampost ila akiwa na wanawake wengine anawapost, na kuwa a naona aibu kodi imeisha akihama ghorofani atachekwa, yani kumbe anaishi maisha ya kuigiza , na alivyokua anajishaua amezaa na matajiri wakat hata kodi ya mil 2 inamshinda

Ila wanawake ndo mjifunze somo , what goes around comes around , alijisifia kuwaachanisha zari na domo , yeye ndo kadhalilishwa mpaka na uchawi , mwanamme kadate na wewe miaka kumi hata kukupost bahati mbaya au kusema kuwa unadate nae anaona aiibu , misa inabidi tu aokoke
We nawe una yako na Hamisa nshakuzoea wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukimchukia mtu...unakua na shida sana...!!!

Sio bure aongelewe Lulu umuweke Missa!sasa ajifunze nini labda. Kwani dai alioa!!
Wangapi humu wezi wa mabwana za watu tena sio mabwana waume za watu...

Aliye msafi awe wa kwanza kumsema Hamisa eti malaya nani humu bikra...!!

Wengine humu washirikina sio wa kwenda kwa waganga wachawi wa kuruka na ungo hizo fake I'd zisifanye sisi tuwe kila siku tunajiona wasafi.m.humu wengine ukute mahawara kabisaa au vimada..

Badilika binamu maisha mafupi..jifunze kua mstaarabu hata kidogooo..
Toka ulivoanza kumchamba Wemaaa wee Leo Missa bado tuko hapa hapa jf[emoji16][emoji16][emoji16]sijaona hata aliyepata mchubuko!!!

Mungu yupo life is too short
 
Ila nikisikiliza ile voice note mpaka namuona huruma , shida zimemjaa hamisa , halafu akija insta utasema hana tatizo hata moja , dah maisha haya , inabidi tu ajipange upya , bado mdogo , maisha ni Kuishi na kujifunza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi Shida za hamisa,Wema au penny zitafanana na za kwetu!!

Hamisa ni level nyingine binamuu...anaeza akawa hana kitu lakini kufulia kwake sio sawa na kwako kubali kataa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!ndo maana mnapata hasira sana!!
 
yaani nlibaki nashangaa tu,nlikua namuona wa tofauti sana,nikabaki najiwazia ndo maana walikorofishana na zama maana wote wajuaji walikutana [emoji1]
Duuhh!!hiii Kali hii...namuonaga muungwana,mstaarabu bonge la Dada....kumbe nae ndo wale wale!!hamu sina hapa!!!
 
Achana na utimu bwana!!!haijalishi kafanyaje au kafanyaje!!kati yake na Zari hakuna aliyeolewa hata mmoja...so kumsema hamisa ni chuki!!!

Tujifunze kua na nyoyo za kurudi nyuma binamu...ukimchukia mtu yaani unakua na hasadi Sanaa...

Hapa anazungumziwa Lulu..hamisa alishaachana na majizooo mpk kuzaa na diamond Leo akiumia si atakua kichaa...!!!

Hakuna mwanaume wa kwako peke yako,labda umbumbe wako!

Daimond sio mtoto na hakua kaoa... So mnaosemasema nawaona kama vile mnatetea Zinaaa tuuu!!!

Anavuna alichopanda , lazima aisome namba , alijua ataoelewa na diamond umaskini wake uishe kumbe ndo kwanza analia hata kodi ya kulipa hana

Usimfananishe zari na mnuka Mavi , zari hategemei child support
 
Hivi huu uzi ni wa Lulu au Hamisa? Mbona kumchamba mama fantasy wakati hajaanzishiwa yy uzi jomoni
 
Ila binamu acha utani , misa lazima achanganyikiwe, yupo kwenye hali ngumu sana , mi Toka nisikilize ile voice note akilalamika diamond hampost ila akiwa na wanawake wengine anawapost, na kuwa a naona aibu kodi imeisha akihama ghorofani atachekwa, yani kumbe anaishi maisha ya kuigiza , na alivyokua anajishaua amezaa na matajiri wakat hata kodi ya mil 2 inamshinda

Ila wanawake ndo mjifunze somo , what goes around comes around , alijisifia kuwaachanisha zari na domo , yeye ndo kadhalilishwa mpaka na uchawi , mwanamme kadate na wewe miaka kumi hata kukupost bahati mbaya au kusema kuwa unadate nae anaona aiibu , misa inabidi tu aokoke
Vitu vingine sijui haoni aibu kuongea
 
Back
Top Bottom