Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Ilikua nafasi yake hii

Analiaje sasa hvi , na alivyokua obsessed na diamond mwenyewe kila akijojiwa anamsifia diamond , diamond alichomfanya naona Hana hamu🤣🤣🤣, sasa hvi sifa kwa baba fantasy ,sema baba fantasy sasa hvi mume mtarajiwa wa lulu , maisha haya

Hamisa anavuna alichopanda, Kakosa kwa majizzo, kakosa kwa diamond , mi nikikumbuka tu alivyokua akisijisifia pussy so good nacheka mbavu sina
 
Write your reply...lulu kawa mbaya hata demu wangu Jane mzuri
kawa flat screen moja ya ukweli, kibonge cha ukweli kabisa
 
Kuku aendelee kujitenga hivyo hivyo, maana bongo movie sasa hvi wana hasira nae , tatizo sio kuvishwa Pete tu , Ila kuvishwa pete na majizzo aka tajiri mtoto🤣🤣, watu wana bahati bhana , Ila ka lulu kametoka mbali sana toka Enzi za Tabata wanakaa chumba kimoja na mama yake , eti sasa hivi na yeye bosslady dah
 
Lulu ni star hajawahi kuwa na tako huyo anapendwa sababu anamvuto tu na anajuwa kuigiza
Hongera zake kama namuona mama mganga (hamisa) atakuwa kalowa jasho sio kwa suprise hilo juzi kati anajisifu ex mama mkwe anataka nikarudiane na mwanaye
 
Analiaje sasa hvi , na alivyokua obsessed na diamond mwenyewe kila akijojiwa anamsifia diamond , diamond alichomfanya naona Hana hamu🤣🤣🤣, sasa hvi sifa kwa baba fantasy ,sema baba fantasy sasa hvi mume mtarajiwa wa lulu , maisha haya

Hamisa anavuna alichopanda, Kakosa kwa majizzo, kakosa kwa diamond , mi nikikumbuka tu alivyokua akisijisifia pussy so good nacheka mbavu sina
Hamisa maji thread ya Lulu anaezungumzwa hamisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]....!!!llohhh
 
Nilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah
Ata Mimi nilikua na ndoto kama zako,kwa sasa nimeamishia ndoto zangu kwa tunda
 
Kuku aendelee kujitenga hivyo hivyo, maana bongo movie sasa hvi wana hasira nae , tatizo sio kuvishwa Pete tu , Ila kuvishwa pete na majizzo aka tajiri mtoto🤣🤣, watu wana bahati bhana , Ila ka lulu kametoka mbali sana toka Enzi za Tabata wanakaa chumba kimoja na mama yake , eti sasa hivi na yeye bosslady dah
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] life is not fair!!!
 
Back
Top Bottom