Ha ha ha haNilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah
Hakutegemea kama ataitwa MrsSasa analia why
Wengine wanapenda watu wenye majina kwa ajili ya 'show off' lakini kiuhalisia baada ya muda kunakuwa na changamoto,kama maamuzi yalikuwa ya kimuhemko.Wenzake wamechezeaaaa weeee kazeeka saizi yeye anaona kaokota dofo.
Anyways maisha hayana formula
We nawe una yako na Hamisa nshakuzoea wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukimchukia mtu...unakua na shida sana...!!!
Sio bure aongelewe Lulu umuweke Missa!sasa ajifunze nini labda. Kwani dai alioa!!
Wangapi humu wezi wa mabwana za watu tena sio mabwana waume za watu...
Aliye msafi awe wa kwanza kumsema Hamisa eti malaya nani humu bikra...!!
Wengine humu washirikina sio wa kwenda kwa waganga wachawi wa kuruka na ungo hizo fake I'd zisifanye sisi tuwe kila siku tunajiona wasafi.m.humu wengine ukute mahawara kabisaa au vimada..
Badilika binamu maisha mafupi..jifunze kua mstaarabu hata kidogooo..
Toka ulivoanza kumchamba Wemaaa wee Leo Missa bado tuko hapa hapa jf[emoji16][emoji16][emoji16]sijaona hata aliyepata mchubuko!!!
Mungu yupo life is too short
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi Shida za hamisa,Wema au penny zitafanana na za kwetu!!
Hamisa ni level nyingine binamuu...anaeza akawa hana kitu lakini kufulia kwake sio sawa na kwako kubali kataa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!ndo maana mnapata hasira sana!!
Wengine wanapenda watu wenye majina kwa ajili ya 'show off' lakini kiuhalisia baada ya muda kunakuwa na changamoto,kama maamuzi yalikuwa ya kimuhemko.
Msanii kuoa au kuolewa mara nyingi uathiri 'career' yake na mapato yanaweza kushuka;ndio maana ukiangalia wengi hawaoi wala hawaolewi.Akina hamisa hao, alijiona ye ndo mwenye bahati kuliko akina k-Lyn mengi kuzaa na diamond , kutwa kutamba insta kazaa na matajiri, Leo wacha tumchambe kidogo maana alijua kutusuuza aiseeh🤣🤣🤣, Leo mambo yamemgeuka , diamond hamtaki, familia haimtaki, baba mtoto wake kavisha mtu pete, hamisa lazima aimbe DUNIA HAINA HURUMA 🤣🤣🤣🤣
Zari hategemei child support [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!punguza chuki binamu!!!ukiwa na chuki nyingi unakua na preshaAnavuna alichopanda , lazima aisome namba , alijua ataoelewa na diamond umaskini wake uishe kumbe ndo kwanza analia hata kodi ya kulipa hana
Usimfananishe zari na mnuka Mavi , zari hategemei child support
Hahaaa!!watu jf utawawezaa!!warumi kaona bora amalizie hasira zake hapa!!Hivi huu uzi ni wa Lulu au Hamisa? Mbona kumchamba mama fantasy wakati hajaanzishiwa yy uzi jomoni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vichambo vyako vya upande mmoja!!!balance equation basi!Hamna binamu , simchukii hamisa , si unajua umbea bila vichambo haunogi🤣🤣, ndo kazi yangu bhana nisamehe bure Ila Vichambo siachi, ntakosa mashabiki, watu wanapenda umbea sana🤣🤣
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwani south hujarudiii...!au umehama nchii!!Dear , Mimi siishi Tanzania , Nina elimu nzuri tu na maisha mazuri🤣🤣, labda hamisa alichonizidi ni umaarufu tu Ila maisha , bado anakongoja binamu
Usibabaike na wasanii ukawaona insta wanashine ukajua they have made it , wengi maskini na elimu hawana🤣🤣🤣
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uzi wa lulu huu!!Akina hamisa hao, alijiona ye ndo mwenye bahati kuliko akina k-Lyn mengi kuzaa na diamond , kutwa kutamba insta kazaa na matajiri, Leo wacha tumchambe kidogo maana alijua kutusuuza aiseeh🤣🤣🤣, Leo mambo yamemgeuka , diamond hamtaki, familia haimtaki, baba mtoto wake kavisha mtu pete, hamisa lazima aimbe DUNIA HAINA HURUMA 🤣🤣🤣🤣
Ilikuwa sherehe ya watoto wanapongezwa kumaliza std7 so imekuwa surpriseIla Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Kwakweli huyu majizo ni mwanaume na nusu, amemchukua lulu kamrudisha shule, na amembadilisha toka kuwa slayqueen hadi wife material and now there they are.All the best!amepitia Mengi mnoo!!Mungu amsimamie huyu ndo Tanzania 's sweetheart sasa
Nabold na kupigia mstariHuyu ndio Madam Hero sasa mwenye Hero zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu hampendi wema kupita maelezoDina huyu huyu....!!!kumbeee!!!ndo maana!
Looh!kaolewa Zamaradi yeye bado
Alafu zile hela tulimchangia hamisa anunue nyumba zimeishia wapi eti dada ake misa [emoji23]Hahaaa!!watu jf utawawezaa!!warumi kaona bora amalizie hasira zake hapa!!
Yeye mwenyewe ukute hata mume hanaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Analia kwa kwa furahaHata mimi niko nashangaa anacholia ni nini hapo..
Maana hakuna hata element ya surprise kitu imeandaliwa siku nyingi..
Bongo movie ni shidah