Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Wenzake wamechezeaaaa weeee kazeeka saizi yeye anaona kaokota dofo.

Anyways maisha hayana formula
Wengine wanapenda watu wenye majina kwa ajili ya 'show off' lakini kiuhalisia baada ya muda kunakuwa na changamoto,kama maamuzi yalikuwa ya kimuhemko.
 
We nawe una yako na Hamisa nshakuzoea wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukimchukia mtu...unakua na shida sana...!!!

Sio bure aongelewe Lulu umuweke Missa!sasa ajifunze nini labda. Kwani dai alioa!!
Wangapi humu wezi wa mabwana za watu tena sio mabwana waume za watu...

Aliye msafi awe wa kwanza kumsema Hamisa eti malaya nani humu bikra...!!

Wengine humu washirikina sio wa kwenda kwa waganga wachawi wa kuruka na ungo hizo fake I'd zisifanye sisi tuwe kila siku tunajiona wasafi.m.humu wengine ukute mahawara kabisaa au vimada..

Badilika binamu maisha mafupi..jifunze kua mstaarabu hata kidogooo..
Toka ulivoanza kumchamba Wemaaa wee Leo Missa bado tuko hapa hapa jf[emoji16][emoji16][emoji16]sijaona hata aliyepata mchubuko!!!

Mungu yupo life is too short

Hamna binamu , simchukii hamisa , si unajua umbea bila vichambo haunogi🤣🤣, ndo kazi yangu bhana nisamehe bure Ila Vichambo siachi, ntakosa mashabiki, watu wanapenda umbea sana🤣🤣
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi Shida za hamisa,Wema au penny zitafanana na za kwetu!!

Hamisa ni level nyingine binamuu...anaeza akawa hana kitu lakini kufulia kwake sio sawa na kwako kubali kataa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!ndo maana mnapata hasira sana!!

Dear , Mimi siishi Tanzania , Nina elimu nzuri tu na maisha mazuri🤣🤣, labda hamisa alichonizidi ni umaarufu tu Ila maisha , bado anakongoja binamu

Usibabaike na wasanii ukawaona insta wanashine ukajua they have made it , wengi maskini na elimu hawana🤣🤣🤣
 
Wengine wanapenda watu wenye majina kwa ajili ya 'show off' lakini kiuhalisia baada ya muda kunakuwa na changamoto,kama maamuzi yalikuwa ya kimuhemko.

Akina hamisa hao, alijiona ye ndo mwenye bahati kuliko akina k-Lyn mengi kuzaa na diamond , kutwa kutamba insta kazaa na matajiri, Leo wacha tumchambe kidogo maana alijua kutusuuza aiseeh🤣🤣🤣, Leo mambo yamemgeuka , diamond hamtaki, familia haimtaki, baba mtoto wake kavisha mtu pete, hamisa lazima aimbe DUNIA HAINA HURUMA 🤣🤣🤣🤣
 
Msanii kuoa au kuolewa mara nyingi uathiri 'career' yake na mapato yanaweza kushuka;ndio maana ukiangalia wengi hawaoi wala hawaolewi.
 
Anavuna alichopanda , lazima aisome namba , alijua ataoelewa na diamond umaskini wake uishe kumbe ndo kwanza analia hata kodi ya kulipa hana

Usimfananishe zari na mnuka Mavi , zari hategemei child support
Zari hategemei child support [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!punguza chuki binamu!!!ukiwa na chuki nyingi unakua na presha
 
Hamna binamu , simchukii hamisa , si unajua umbea bila vichambo haunogi🤣🤣, ndo kazi yangu bhana nisamehe bure Ila Vichambo siachi, ntakosa mashabiki, watu wanapenda umbea sana🤣🤣
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vichambo vyako vya upande mmoja!!!balance equation basi!
 
Dear , Mimi siishi Tanzania , Nina elimu nzuri tu na maisha mazuri🤣🤣, labda hamisa alichonizidi ni umaarufu tu Ila maisha , bado anakongoja binamu

Usibabaike na wasanii ukawaona insta wanashine ukajua they have made it , wengi maskini na elimu hawana🤣🤣🤣
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwani south hujarudiii...!au umehama nchii!!
 
Akina hamisa hao, alijiona ye ndo mwenye bahati kuliko akina k-Lyn mengi kuzaa na diamond , kutwa kutamba insta kazaa na matajiri, Leo wacha tumchambe kidogo maana alijua kutusuuza aiseeh🤣🤣🤣, Leo mambo yamemgeuka , diamond hamtaki, familia haimtaki, baba mtoto wake kavisha mtu pete, hamisa lazima aimbe DUNIA HAINA HURUMA 🤣🤣🤣🤣
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uzi wa lulu huu!!
Missa mmaaaa!!
 
Ila Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Ilikuwa sherehe ya watoto wanapongezwa kumaliza std7 so imekuwa surprise
 
All the best!amepitia Mengi mnoo!!Mungu amsimamie huyu ndo Tanzania 's sweetheart sasa
Kwakweli huyu majizo ni mwanaume na nusu, amemchukua lulu kamrudisha shule, na amembadilisha toka kuwa slayqueen hadi wife material and now there they are.

Sasa hv lulu ni mdada anayejiheshim ana hofu ya Mungu na anapenda familia yake mpya (watoto wa majey)
 
Hahaaa!!watu jf utawawezaa!!warumi kaona bora amalizie hasira zake hapa!!

Yeye mwenyewe ukute hata mume hanaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu zile hela tulimchangia hamisa anunue nyumba zimeishia wapi eti dada ake misa [emoji23]
 
Back
Top Bottom