Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

we umeolewa tayar au unadanga tu huko nje
 
Msanii kuoa au kuolewa mara nyingi uathiri 'career' yake na mapato yanaweza kushuka;ndio maana ukiangalia wengi hawaoi wala hawaolewi.

Yes , but kwa lulu ni kitu ingine, kumbuka mume nae yupo kwenye entertainment industry , so kwao sio issue , issue Inakuja uolewe na mtu mwenye career tofauti na yako
 
Zari hategemei child support [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!punguza chuki binamu!!!ukiwa na chuki nyingi unakua na presha

Sasa jaman tuacheni utani, hivi level za zari ni za kulilia child support ? 🤣🤣🤣
 
Hahaaa!!watu jf utawawezaa!!warumi kaona bora amalizie hasira zake hapa!!

Yeye mwenyewe ukute hata mume hanaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Binamu , madanga zangu hamisa hawakuti🤣🤣, I only hang out with white elites , most powerful people in society n well respected
 
Mwanaume mzima na korodani ka kifirushi cha korosho eti unakwenda kumpigia magoti mwanamke unayetaka kumuoa! Hizi tamaduni nyingine hazitufai sisi! Dume zima unakwenda kumpigia magoti mwanamke uliyemtolea mahari! Swine kabisa. ..
 
Majizo naye in kijitu cha ajabu sema haishindwi na kitu
 
Mwanaume mzima na korodani ka kifirushi cha korosho eti unakwenda kumpigia magoti mwanamke unayetaka kumuoa! Hizi tamaduni nyingine hazitufai sisi! Dume zima unakwenda kumpigia magoti mwanamke uliyemtolea mahari! Swine kabisa. ..
Stupidity kwa kweli hata mm ninsinge kubali mume wangu anipigie magoti
 
Write your reply...Dinah mbinafsi sana tu .Wan
 
Write your reply...Dinah mbinafsi sana tu .Wanaomjua vzr wanasema ana roho fulani mbaya hapendagi wenzie wasifiwe kazini bali asifiwe yeye tu wala wasipate wengine apate yeye tu. Tena ukionekana umemzidi hataki yaani yrye awe juu tu. Watangaxaji wenzie wanajikaza tu pale kwenye kipindi.
 
nimecheka sana

Japokua amejitakia, Ila namuonea huruma sana hamisa , Ana vita kubwa sana , hata wasanii wenzie wengi hawampendi

Yeye akazane tu na kazi na kumuomba Mungu , mambo yake yatanyooka, Ila cha muhimu ni kujifunza maisha aliyochagua hayakua sahihi , Mungu huwa angalii dhambi zetu , aache kwenda kwa waganga amtegemee Mungu tu na yeye
 
kweli haina makombo...ila majizo Ana moyo... ....
Walisema Ana kisukumi sijui kimeshaondoka??
 
aah! hadi huruma...

Ila lulu asijisahau....

Mazimwi mjini hapo mengi sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…