santorini
Senior Member
- Sep 8, 2018
- 124
- 127
we umeolewa tayar au unadanga tu huko njeDear , Mimi siishi Tanzania , Nina elimu nzuri tu na maisha mazuri🤣🤣, labda hamisa alichonizidi ni umaarufu tu Ila maisha , bado anakongoja binamu
Usibabaike na wasanii ukawaona insta wanashine ukajua they have made it , wengi maskini na elimu hawana🤣🤣🤣