Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Ila Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Haha
 
Esma kampongeza Lulu kaah![emoji3][emoji3][emoji3]badala amlinganie kaka yake aoe aondokane na watoto wa nje na zinaa!mtihani kweli huu
 
Pole wewe unajua mpaka mama ako anakuzaa kashapigwa mkuyenge na watu wangapi?? Na sasa katulia au kwakua Huyo binti ni maarufu?
we kyuma hii thread inahusu mama au Elizabeth Michael 'lulu' ? Fungua thread titled 'mama yake worldboss ' then ongea huo ungese wako wote
NkUNDU wa bibi ako
 
we kyuma hii thread inahusu mama au Elizabeth Michael 'lulu' ? Fungua thread titled 'mama yake worldboss ' then ongea huo ungese wako wote
NkUNDU wa bibi ako
Heeee!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Muda wake umefika wamewaacha makurumbembe wa mjini waendelee kudangaa!majizo kamtuliza sana Lulu

Bongo muvi wengi huko waliko wanalia Leo!
Yaani Wema sijui alishindwa nini jamani kupata mume na yeye...dalili zinaonekana atazeeka bila mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…