Mkorintho wa 6
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 270
- 427
Naye anapenda siku moja awe mrs sizani kama anapenda kuwa vile[emoji10][emoji10][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana tu!ndoa ni jambo la heri na baraka pia!!Naye anapenda siku moja awe mrs sizani kama anapenda kuwa vile[emoji10][emoji10]
Mkuu hilo ni povu halina madhara yeyoteIla Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Wakati mwingine usimzarau mtu kwanini hajaolewa, kuolewa ni bahati jamani unaweza kuwa mzuri na tabia njema unayo lakini ukakosa bahati, wale wasiotulia ndiyo wakawahi kuolewa hivyo ni bahatiSana tu!ndoa ni jambo la heri na baraka pia!!
Ila kana wallet ndefu kwa sasa!Kumbe huyo majizzo kafupi kama lulu mwenyewe [emoji15]
Wanakuambia usililie uzuri Lilia bahati ndo hii sasa!!!Wakati mwingine usimzarau mtu kwanini hajaolewa, kuolewa ni bahati jamani unaweza kuwa mzuri na tabia njema unayo lakini ukakosa bahati, wale wasiotulia ndiyo wakawahi kuolewa hivyo ni bahati
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817]All the best!amepitia Mengi mnoo!!Mungu amsimamie huyu ndo Tanzania 's sweetheart sasa
Ndivyo ilivyo na ukiwa msichana ukisikiliza kila anaye ongea mbona huolewi matokeo yake unaolewa na mtu ambaye moyo haujaridhia ndiyo yale siku 2 hakuna ndoa, wapo waliowahi na wanajuta wapo waliosubiri riziki yao wanadunda, hivyo ni bahati ya mtu, sasa huyo dad katulia na ndoa yake.Wanakuambia usililie uzuri Lilia bahati ndo hii sasa!!!
Nna Dada yangu alikua mapepe alivyoolewa watu wameshika vichwa katuliaaa!!
Nna aunty yangu ana 41 hana mume wala mtoto jus imagine !!!
Hahaaa!kweli kabisaa!Ndivyo ilivyo na ukiwa msichana ukisikiliza kila anaye ongea mbona huolewi matokeo yake unaolewa na mtu ambaye moyo haujaridhia ndiyo yale siku 2 hakuna ndoa, wapo waliowahi na wanajuta wapo waliosubiri riziki yao wanadunda, hivyo ni bahati ya mtu, sasa huyo dad katulia na ndoa yake.
Kalale tena umuote demu mwingine.Nilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah
Kila la kheri...ila yule hupewa akavaa mwenyewe.Hongera kwao...namm nataka kumvisha pete Wema mwezi december
Wewe kakuchezea nani mbona povu ulitaka uchumbiwe wewe nini...mke wa pili utakua usijaliWenzake wamechezeaaaa weeee kazeeka saizi yeye anaona kaokota dofo.
Anyways maisha hayana formula