Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Ila Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Mkuu hilo ni povu halina madhara yeyote
 
Sana tu!ndoa ni jambo la heri na baraka pia!!
Wakati mwingine usimzarau mtu kwanini hajaolewa, kuolewa ni bahati jamani unaweza kuwa mzuri na tabia njema unayo lakini ukakosa bahati, wale wasiotulia ndiyo wakawahi kuolewa hivyo ni bahati
 
All the best kwake.... Pamoja na mapito yote ila bado Mungu kawa mwema...... [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Wakati mwingine usimzarau mtu kwanini hajaolewa, kuolewa ni bahati jamani unaweza kuwa mzuri na tabia njema unayo lakini ukakosa bahati, wale wasiotulia ndiyo wakawahi kuolewa hivyo ni bahati
Wanakuambia usililie uzuri Lilia bahati ndo hii sasa!!!

Nna Dada yangu alikua mapepe alivyoolewa watu wameshika vichwa katuliaaa!!
Nna aunty yangu ana 41 hana mume wala mtoto jus imagine !!!
 
Ndivyo ilivyo na ukiwa msichana ukisikiliza kila anaye ongea mbona huolewi matokeo yake unaolewa na mtu ambaye moyo haujaridhia ndiyo yale siku 2 hakuna ndoa, wapo waliowahi na wanajuta wapo waliosubiri riziki yao wanadunda, hivyo ni bahati ya mtu, sasa huyo dad katulia na ndoa yake.
 
Hahaaa!kweli kabisaa!
 
[QUOTE="Da'Vinci, post: 28593203, member: 401770"]Kanumba liked your post..[/QUOTE]
Unamaanisha nini mkuu unaposema maumivu ya mwenzie
.....
 
hongera kwa majizzo ......na angalizo pia ...siku akizingua tu lulu anamdedisha kama kanumba...😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom