Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Juzi nilikunywa pombe sasa kurudi home wife kalianzisha timbwili timbwili, nikataka kuzabua vibao japo viwili ghafla ikanijia Kifo cha kanumba aaaaah nikaghairi pale pale nikaenda chumba cha mtoto nikaangusha zangu hadi asubuhi.

Wanawake wanaongoza kusababisha vifo vya wenza wao kwa asilimia kubwa sana, halafu bila aibu anaolewa na mwanaume mwingine ptuuu.
 
Kwa hiyo ulitaka amfuate kanumba wakaoane ama?
 
Huyu ndio lulu yule mrembo au tutarajie mwingine? In yohana mbatizaji voice, hongera lulu, ujaaliwe ndoa soon lakini kama sio mama kija punguza kamwili na tumbo hilo, lv you Elizabeth.[emoji8]
 
Muda wake umefika wamewaacha makurumbembe wa mjini waendelee kudangaa!majizo kamtuliza sana Lulu

Bongo muvi wengi huko waliko wanalia Leo!

Wanalia kwa uchungu sana , Jana ilikua siku mbaya kwa mastaa kama hamisa , wema , irene uwoya , wolper , yani wivu umewajaa kama nawaona
 
Mwanaume niwe na wivu eti lulu kaolewa..
Kuwa serious kidogo..

Ninachoongelea ni maigizo ya kulia wakati kila kitu kilikua planned inawezekana yeye mwenyewe ndio aliplan sherehe kabisa
Kwani mkuu kalia kwa surprise au kwa furaha naomba jibu.
 
tuliokuwa hatulali au kula mpaka tuambiwe mchumba wako ni huyo hapo watoto show ya itv tukutane chini ya mkorosho tutetee
 
Huyu lulu sialisema yeye hataki mtu mwingine amuoe zaidi ya yule mmarekani mwimba miziki sijui wanamuita jastini beiba

Amahakika jela imemfunza kuwa hata hapa bongo waoaji wapo
Labda ilikua fantansy mkuu...ni kama wewe unavyompigia nyeto SELENA GOMEZ!
 
Ànalia mengi unajua kuna furaha na uchungu huja unashindwa jizuia akifikiria yule mwanaume kamvumilia mangapi ,kamfanyia vitu vingapii mpaka leo anahalalisha kwa aliyopitia lulu yupo sawa kulia
Kwanini asicheke? Au kisa zote ni kelele kulia na kucheka?
 
Mwanaume niwe na wivu eti lulu kaolewa..
Kuwa serious kidogo..

Ninachoongelea ni maigizo ya kulia wakati kila kitu kilikua planned inawezekana yeye mwenyewe ndio aliplan sherehe kabisa

Huoni ilikuwa ni sherehe ya watoto?!. Hyo imekuja suprise Acha wivu asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…