G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Juzi nilikunywa pombe sasa kurudi home wife kalianzisha timbwili timbwili, nikataka kuzabua vibao japo viwili ghafla ikanijia Kifo cha kanumba aaaaah nikaghairi pale pale nikaenda chumba cha mtoto nikaangusha zangu hadi asubuhi.
Wanawake wanaongoza kusababisha vifo vya wenza wao kwa asilimia kubwa sana, halafu bila aibu anaolewa na mwanaume mwingine ptuuu.
Wanawake wanaongoza kusababisha vifo vya wenza wao kwa asilimia kubwa sana, halafu bila aibu anaolewa na mwanaume mwingine ptuuu.