Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Ila Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?

Hahaha jamani sherehe ilikua ya wadogo zake. Hiyo engagement imekuja kama Suprise
 
Hahaha jamani sherehe ilikua ya wadogo zake. Hiyo engagement imekuja kama Suprise
Hee! Kumbe ndo maana majizo yuko simple sana ujue!!!

Hata lulu mwenyewe alikua simple sana ujue japo kadamshi kama kawaida yake kupendeza!!
 
we kyuma hii thread inahusu mama au Elizabeth Michael 'lulu' ? Fungua thread titled 'mama yake worldboss ' then ongea huo ungese wako wote
NkUNDU wa bibi ako
Kama imekuuma chomoa.
 
we kyuma hii thread inahusu mama au Elizabeth Michael 'lulu' ? Fungua thread titled 'mama yake worldboss ' then ongea huo ungese wako wote
NkUNDU wa bibi ako
Kama imekuuma chomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…