Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
😀😀😀😀😀 Wewe jamaa umenifanya nicheke bila kupenda aisee!...Nilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah