Dina is so decent but she doesn’t know how to put herself together.Mwenzenu natamani dina marios aolewe ujue basi tu!!
Naona uchawi wa hamisa umegonga kwa lulu , lulu a napiga maombi hatari
Naona umetia discipline .... Ukome kushobokea wanaume lasivyo nitakusokomezea ndole makalioni ...kilaza MkubwaKama imekuuma chomoa.
Ilikua nafasi yake hii
Maisha ni bahatiEti sasa hvi mtoto kama lulu ndo boss wao , yani maisha haya🤣🤣🤣
Write your reply...lulu kawa mbaya hata demu wangu Jane mzuri
kawa flat screen moja ya ukweli, kibonge cha ukweli kabisa
Hapana Missa Muislam majizzo mkristo!!!wangeishia bomani ndoa ambayo wala sio ya ndoa kidiniIlikua nafasi yake hii
Mungu amjaalie jamani kwani ncha Kali waliachana...?Dina is so decent but she doesn’t know how to put herself together.
Hamisa maji thread ya Lulu anaezungumzwa hamisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]....!!!llohhhAnaliaje sasa hvi , na alivyokua obsessed na diamond mwenyewe kila akijojiwa anamsifia diamond , diamond alichomfanya naona Hana hamu🤣🤣🤣, sasa hvi sifa kwa baba fantasy ,sema baba fantasy sasa hvi mume mtarajiwa wa lulu , maisha haya
Hamisa anavuna alichopanda, Kakosa kwa majizzo, kakosa kwa diamond , mi nikikumbuka tu alivyokua akisijisifia pussy so good nacheka mbavu sina
Ncha kali unamuonaje alivyo sasa na Dina mwenyewe anavyojiweka kizembe wangeendana kweli? Pale labda fainali uzeeniMungu amjaalie jamani kwani ncha Kali waliachana...?
Ata Mimi nilikua na ndoto kama zako,kwa sasa nimeamishia ndoto zangu kwa tundaNilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah
Mrs boss!!!Eti sasa hvi mtoto kama lulu ndo boss wao , yani maisha haya🤣🤣🤣
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] life is not fair!!!Kuku aendelee kujitenga hivyo hivyo, maana bongo movie sasa hvi wana hasira nae , tatizo sio kuvishwa Pete tu , Ila kuvishwa pete na majizzo aka tajiri mtoto🤣🤣, watu wana bahati bhana , Ila ka lulu kametoka mbali sana toka Enzi za Tabata wanakaa chumba kimoja na mama yake , eti sasa hivi na yeye bosslady dah
Natamani kweli aolewe huyu Dada kaolewa basi tu!!!Ncha kali unamuonaje alivyo sasa na Dina mwenyewe anaejieeka kizembe wangeendana kweli? Pale labda fainali uzeeni