Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Halafu ukute aliyesababisha ugomvi kati ya Kanumba na Lulu Majizo ndiye aliyesababisha. Any way acha niendelee kujipa ma hope kuwa wakati Lulu aki date na Kanumba Majizo alikuwa bado hajaja mjini. Azawaisi Kanumba started follow them
 
Hatimaye...baada ya maswaibu mengi..mastaa wengi wanaishia kuzalishwa tu hii kitu wanaiskiaga tu..
 
Mmmh huyu dogo ndo kazeeka hivi? na kitambi?!! duh ama kweli wakati ni ukuta.

Kila lakheri kwenye hiyo ndoano yao tarajiwa. Akina sie bado tupo tupo kwanza na hatujuwi tutaoa lini.

-Kaveli-
 
Mmmh huyu dogo ndo kazeeka hivi? na kitambi?!! duh ama kweli wakati ni ukuta.

Kila lakheri kwenye hiyo ndoano yao tarajiwa. Akina sie bado tupo tupo kwanza na hatujuwi tutaoa lini.

-Kaveli-

Binamu bado hujaoa tu au ndo bado unadanga🤣🤣🤣
 
Mmmh huyu dogo ndo kazeeka hivi? na kitambi?!! duh ama kweli wakati ni ukuta.

Kila lakheri kwenye hiyo ndoano yao tarajiwa. Akina sie bado tupo tupo kwanza na hatujuwi tutaoa lini.

-Kaveli-

Hajazeeka bhana, make up tu
 
Hahaha shangazi Warumi bhana. Kama umekuza kabinti kazuri zuri embu naomba uwe mkwe wangu. Mahari mkopo.

-Kaveli-

Binamu unajua kuhonga?, au ndo wale mpaka mrogwe ndo mkae sawa, mi wakwe wabahili siwataki🤣🤣
 
Tatizo sio mume tu , tatizo mume mwenye pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Sasa dogo janja pale kaoa au kaolewa , irene yuko zake zenji sasa hvi anadanga , dogo janja analea mtoto , Leo mastaa watalia na kusaga meno[emoji1787]
Pole yake si anaongeza u superstar mwache alee tu mtoto
 
Back
Top Bottom