IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Haina makombo.Wenzake wamechezeaaaa weeee kazeeka saizi yeye anaona kaokota dofo.
Anyways maisha hayana formula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina makombo.Wenzake wamechezeaaaa weeee kazeeka saizi yeye anaona kaokota dofo.
Anyways maisha hayana formula
Lulu ana nyota ya kuliwa na waliomzidi umri mara dufu....Majizo kapost video kwenye ukurasa wake wa instagram ikumuonesha akimvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Elizabeth Michael aka Lulu.
Hongera zao, naona harusi inanukia.
View attachment 882883
View attachment 882799
Wapendanao
ahahahhahahahhaa nyau kweli !Kanumba liked your post..
Sijui aliwaza nn!Watu machizi sana 🤣[emoji38]
Hili jambo linaumaWenzake wamechezeaaaa weeee kazeeka saizi yeye anaona kaokota dofo.
Anyways maisha hayana formula
Binamu bado hujaoa tu au ndo bado unadanga🤣🤣🤣
Hajazeeka bhana, make up tu
Pole, hujaumia?ahahahhahahahhaa nyau kweli !
nimechekaaaaaaaaaa!
Pole yake si anaongeza u superstar mwache alee tu mtotoTatizo sio mume tu , tatizo mume mwenye pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Sasa dogo janja pale kaoa au kaolewa , irene yuko zake zenji sasa hvi anadanga , dogo janja analea mtoto , Leo mastaa watalia na kusaga meno[emoji1787]