Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Hatari....naye anafuatiliwa na ile roho ya umauti japo anaona ni kawaida. Hatari sana...maana hata biblia imenena kwamba auaye kwa upanga atakufa kwa upanga...haijaongelea habari ya kama ikitokea ameua kwa kutokukusudia!!!
 
msameheni mtoto wa watu jamani..hope mpaka sasa amejifunza kwa makosa yake..
muhurumienii
 
Kanumba alikuwa hatari kwa jamii, maana kaanza kukitafuna kilulu tangu kikiwa kitoto. Who knows, labda angekuwepo mpaka leo angemuona Lulu mzee angekuwa anatafuna vitoto vingine visivyokuwa na matiti. Yule jamaa alikuwa Paedophile.
Halafu alikua anajifanya mstaarabu hata pombe hagusi kumbe mnywaji hadi pombe kali, apumzike salama...nisiwe judge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…