Alikua ashaturn18 nakumbuka alitamka one week before kua ana 18 kwny kipind cha mkasi aliulizwa una boyfriend akjibu am only 18 I don't have boyfriend while mwaka wa nyuma yake alisherehekea bday ya kuturn 18 alilewa mpk kuzima [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wabongo tunakumbukumbu vzrDuh ntaamini sheria yaweza pinda kweli na majaji watajiabisha aisee, au watumie kigezo cha kwamba alikuwa chini ya miaka 18 achapwe viboko hahahaha au aende jela ya watoto (wakati ni mtu mzima sekta ya kungonoka zaidi ya Zari )
Mungu ana hekima sana kidogo kapoa japo kuiba mabwana hajaacha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]nlikua namuogopa aisee..si kwa matendo yale..
ila segerea kidogo ilimpa nidhanu..
najiuliza kama asingepitia msala wa kanumba angekuwaje hivi sasa?
[emoji38] ndo riziki yake ilipo..Mungu ana hekima sana kidogo kapoa japo kuiba mabwana hajaacha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wabongo ndivyo tulivyo. Na wanawake ndio tunaongoza hyo sekta. Mtoto mpaka kufika hatua ya kujitambua bila kumsumbua mzazi ni jambo la kumshukuru Mungu.Kila mtu ana historia yake nzuri ama mbaya, kuwa na historia mbaya hakumzuii mtu kubadirika na kuwa mtu mwema.
Uwa nashangaa watu wakisikia flani siku hizi katulia wanaanza fukua picha na mambo yake ya zamani na kusema alikuwa vile alikuwa hivi.
Wengi waliobadirika na kuwa watu wema, historia yao inaonyesga walikuwa waovu..
Luka 5:32 Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Chezea skin foundation wewe. Saloon treatments hizo. Kutana naye asubuhi kabla ya kuoga utarudi hapa kufuta comment yako.
Kana maishu makubwa makubwa ....ntakupa mkanda PM[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] tupe udaku shoga
Nilishangaa kusikia anataka kujiunga na degree nkauliza anatumia vyeti vya nani
Weeee ....sasa hivi kanamkamua majizzo+ mibaba hataree[emoji38] ndo riziki yake ilipo..
halafu kuhongwa kote huko hana hata ka boutique ka kuzugia mjini?
au kapanga ndo yawe maisha yake uzeeni?
Zari wa kesho?Nikimtazama anavyo vaa siku hizi, nilikuwq namuona kama Zari wa kesho, kumbe mjuaji?
Degree my foot![emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] tupe udaku shoga
Nilishangaa kusikia anataka kujiunga na degree nkauliza anatumia vyeti vya nani
zari wa madaleZari wa kesho?
Huyu Zari madildo or?
Mkuu sijakuelewa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mmmh mkuu na wewe...zari wa madale
[emoji38] sio kama nani?Weeee ....sasa hivi kanamkamua majizzo+ mibaba hataree
Kana duka la vipodozi kinondoni, boutique
Kamejenga chamazi, kidogo kichwani zimo zimo sio ka Tz sweetheart[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kale kwao ndo baba na mama so ujinga pembeni...[emoji38] sio kama nani?
hongera yake kama anawekeza
Mimi siangalii rafiki zake, naangalia jinsi anavyojitahidi kufanya mambo yake.Mmmh mkuu na wewe...
Huyu zari rafiki zake Huddah, Vera, Sinta?...what's so special?
kweli aisee..naskia ye ndo anaprovide kila kitu kwa mama na mdogo ake..kodi.Kale kwao ndo baba na mama so ujinga pembeni...
Tz sweetheart kwao matajiri haangaiki[emoji23] [emoji23]
Degree my foot!
Hiyo form four yenyewe imeunganishwa na superglue[emoji125] [emoji125]