Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Duh ntaamini sheria yaweza pinda kweli na majaji watajiabisha aisee, au watumie kigezo cha kwamba alikuwa chini ya miaka 18 achapwe viboko hahahaha au aende jela ya watoto (wakati ni mtu mzima sekta ya kungonoka zaidi ya Zari )
Alikua ashaturn18 nakumbuka alitamka one week before kua ana 18 kwny kipind cha mkasi aliulizwa una boyfriend akjibu am only 18 I don't have boyfriend while mwaka wa nyuma yake alisherehekea bday ya kuturn 18 alilewa mpk kuzima [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wabongo tunakumbukumbu vzr
 
Mungu ana hekima sana kidogo kapoa japo kuiba mabwana hajaacha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji38] ndo riziki yake ilipo..
halafu kuhongwa kote huko hana hata ka boutique ka kuzugia mjini?

au kapanga ndo yawe maisha yake uzeeni?
 
Kila mtu ana historia yake nzuri ama mbaya, kuwa na historia mbaya hakumzuii mtu kubadirika na kuwa mtu mwema.
Uwa nashangaa watu wakisikia flani siku hizi katulia wanaanza fukua picha na mambo yake ya zamani na kusema alikuwa vile alikuwa hivi.
Wengi waliobadirika na kuwa watu wema, historia yao inaonyesga walikuwa waovu..
Luka 5:32 Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.
Wabongo ndivyo tulivyo. Na wanawake ndio tunaongoza hyo sekta. Mtoto mpaka kufika hatua ya kujitambua bila kumsumbua mzazi ni jambo la kumshukuru Mungu.
Kila mtu ako na past life inaweza kua mbaya au nzuri.
 
Kanumba kafa kivyake tu, alipokua akipambana na hali yake, ghafra ikamshinda, huyu binti wanamwonea bure tu
 
[emoji38] ndo riziki yake ilipo..
halafu kuhongwa kote huko hana hata ka boutique ka kuzugia mjini?

au kapanga ndo yawe maisha yake uzeeni?
Weeee ....sasa hivi kanamkamua majizzo+ mibaba hataree

Kana duka la vipodozi kinondoni, boutique

Kamejenga chamazi, kidogo kichwani zimo zimo sio ka Tz sweetheart[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Weeee ....sasa hivi kanamkamua majizzo+ mibaba hataree

Kana duka la vipodozi kinondoni, boutique

Kamejenga chamazi, kidogo kichwani zimo zimo sio ka Tz sweetheart[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38] sio kama nani?
hongera yake kama anawekeza
 
Kesi yake ni imebase zaidi katika ushahidi wa kimazingira (circumstantial evidence) kuliko ushahidi wa moja kwa moja (direct evidence/eye witnesses)...hii ndo sababu kubwa itayombeba Lulu katika kesi yake na hatimaye kuachiwa huru,maana upande wa mashtaka watashindwa kuthibitisha pasi na shaka yoyote ile ya maana (beyond any reasonable doubt) kwamba Lulu ndie hasa aliyemuua/aliyesababisha kifo cha Kanumba kwa namna yoyote ile.

Vyenginevyo awe amekiri mwenyewe Mahakamani kuwa alimfanya kitu flani Kanumba na hatimaye kifo chake,jambo ambalo sitegemei maana alikuwa na Wakili huyu.
 
Kale kwao ndo baba na mama so ujinga pembeni...

Tz sweetheart kwao matajiri haangaiki[emoji23] [emoji23]
kweli aisee..naskia ye ndo anaprovide kila kitu kwa mama na mdogo ake..kodi.
ada na mengineyo
aombe tu ashinde kesi.
atawaacha vibaya
 
Back
Top Bottom