Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Mi hua sijakafollowNa akishinda watamkoma waliokua wanamuombea afungwe maana ana mdomo mchafu huyu binti!!
Yes kwa hilo nampa Big up Zari....anajitahidi kwa kweli, maana vistar uchwara vya hapa vimezubaa!Mimi siangalii rafiki zake, naangalia jinsi anavyojitahidi kufanya mambo yake.
Ni tofauti na celebs wa kibongo
Huo mdomo mchafu waulize dada zake Majizzo walipata habari.Na akishinda watamkoma waliokua wanamuombea afungwe maana ana mdomo mchafu huyu binti!!
Mazingira aliyokulia yalichangiaNa wala hakumkuta virgin dogo kaanza michezo kabla ya kanumba na ndo maana aliacha shule
aisee...walikua wanaoga maneno?Huo mdomo mchafu waulize dada zake Majizzo walipata habari.
Mi aliniblokuMi hua sijakafollow
Yule lulu kwao ndo kitega uchumiKale kwao ndo baba na mama so ujinga pembeni...
Tz sweetheart kwao matajiri haangaiki[emoji23] [emoji23]
Ila kauaji
Katoto kazuri utafikiri hakanyi.
Lulu anajitambua maana anajua mwisho wa siku atamumbuka mjini hapa ye ndo baba ye ndo mamaWeeee ....sasa hivi kanamkamua majizzo+ mibaba hataree
Kana duka la vipodozi kinondoni, boutique
Kamejenga chamazi, kidogo kichwani zimo zimo sio ka Tz sweetheart[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shoga nlilala Jana loojj!umbea umenipitaaa haya usinisahau PMKana maishu makubwa makubwa ....ntakupa mkanda PM
Jf bana dah umewaza nn sasa??
Katoto kazuri utafikiri hakanyi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mibwanajelaKibubu chake kinamfanya atuone hatujui sheria!!?
Dharau mbaya, atapumuliwa shingoni na kila kada, wanasiasa, mipolisi, makarani, mahakimu, mabwanajela n.k n.k.
Mungu amrehemu.
Basi tu yaani, we acha tu, kuna wakati unaweza waza kitu mpaka mwenyewe ukajishangaa. lakini ndo hivyo no way.Jf bana dah umewaza nn sasa??
Wala sio hivyo, ni nyota yake tu chafu inatakiwa kuoshwa. Nyota ya mauhusiano.Ila kauaji