Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Mimi siangalii rafiki zake, naangalia jinsi anavyojitahidi kufanya mambo yake.
Ni tofauti na celebs wa kibongo
Yes kwa hilo nampa Big up Zari....anajitahidi kwa kweli, maana vistar uchwara vya hapa vimezubaa!

Full kuwaza club na gambe
 
Mtoto mdogo sema ana mambo makubwa sana yaliyozidi umri wake so muache apambane na kila hhali anafkia hatua anatembea na waume za watu waziwazi bila uwoga wowote.
 
20589849_160943114475922_2222556347734425600_n.jpg


Katoto kazuri utafikiri hakanyi.
Ila kauaji
 
Weeee ....sasa hivi kanamkamua majizzo+ mibaba hataree

Kana duka la vipodozi kinondoni, boutique

Kamejenga chamazi, kidogo kichwani zimo zimo sio ka Tz sweetheart[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lulu anajitambua maana anajua mwisho wa siku atamumbuka mjini hapa ye ndo baba ye ndo mama
 
Kibubu chake kinamfanya atuone hatujui sheria!!?

Dharau mbaya, atapumuliwa shingoni na kila kada, wanasiasa, mipolisi, makarani, mahakimu, mabwanajela n.k n.k.

Mungu amrehemu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mibwanajela
 
Mtu alimbeba mpaka marehemu Komba enzi hizo akiwa 15 to 16 yaani uyo mtoto ni kahaba alie kubuhu
 
Back
Top Bottom