Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kupenda penda kupokea vitu toka kwa mtu yeyote bila kujali ndo maana marekani kawauzia msala wa al shabab nyie mliangalia tu visenti atakavyotoa ambavyo vinaishia kwenye matumbo ya viongozi tu wananchi wa kawaida wanabaki wanateseka na hao majamaaWacha upuuzi. Sisi hatuwezi kataa pesa kama nyinyi. Kwani ukipokea pesa kutoka kwake utakuwa lesbian? Wacha upuuzi.