Ellen DeGeneres and Her Wife are In Kenya

Ellen DeGeneres and Her Wife are In Kenya

Huyu jamaa emewahi mtongoza Kadoda nakusema he loves Tanzanian men
Kadoda uko wapi utupatie hiyo evidence
Jay nae kumbe anatatuliwa😀😀
mmetembelewa nanyi pia...mtafukuza au?
 
yaani watu wanasifia kuwachinja albino kama kuku ila wanazungumza hivi...duh! dunia imepasuka mahali....igawa sikubaliani kabisa and I mean i SIKUBALIANI KABISA in capital letters na tabia ya usagaji, nashangazwa sana na matamshi ya jamaa flani hapa...albino wametoroka nchi wote...hii roho ya kichawi ilianzia wapi
Two wrongs don't make a right!
 
Two wrongs don't make a right!
tujifunze kuheshimiana licha ya tofauti zetu....mbona wazungu wakitutusi kima kwa sababu ya rangi yetu nyeusi tunalalamika ila tunawabagua kina ellen...jambo muhimu ni watu kutojali kinachoendelea usiku chumbani mwa ellen...hio haituhusu sisi kamwe...
 
I totally agree with your last argument.

Ila unapoanza kuargue kwa kusema "mbona" there is no way nitakubaliana nawe.
 
Back
Top Bottom