Ellon Musk amdhihaki vibaya Zelensky

Alijtoa ofa kubwa mwanzoni kabla kufikiria biashara.
Kumbe alikuwa sio mfadhili ni mtoa ofa? Ebu tuone hiyo offer, tangu mda Elon element zake zinaonyesha ni pro Russia na china na naamini hivo kwa ajili ya biashara zake
 
Tofautusha omba omba na uwekezaji, investors mama amaenda kutafuta investors walete pesa zao hapa Tz tupate ajira na maendeleo, nyie wazawa mmeshindwa kila kitu, shirika la umeme tu limewashinda kumanage kabisa.........bora tuletewe hao wawekeze
Walioshindwa kumanage hilo shirika la umeme na mengine kibao ya umma ni watu gani?
Unapowasifia kwa kukopa wasifie pia kwa kuua mashirika ya uma.
 
JPM alificha uozo na umeme ulikuwepo. Huyu anaweka wazi na umeme haupo! Yupi bora hapo?
 
Hivi kwanini waislamu wengi wanashabikia Urusi?
Wanahisi wanamkomoa Mmarekani ambaye kwa imani yao wanamuona kama ni Mpinga uislam (Mkristo) lakini cha kushangaza Waislam wote duniani ndoto zao ni kuishi Marekani na si Russia!
 
Huyo Zelensky hajielewi hayo mataifa yalikuwa yanapunguza stock ya silaha zao za zinazokaribia kuexpire. Na hata wakiwapa silaha Ukraine hawawapi Bure wanawapa kwa mkopo. Kwa hio Ukraine ikishinda vita inabidi walipe deni. Lakini pia kama Urusi ikishinda vita itafunguliwa kesi na wataambiwa walipe faini kwa sababu wamesababisha raia wa Ukraine wawe wakimbizi. Hivyo ku affect uchumi wa nchi hizo kubwa. Kwa hio hii ni win win kwa mataifa makubwa.
 
Acha umama, anajitangaza kuchukua maeneo baadae anayakimbia kwa mtiti wa Zelensky, Kuna watu ni wajinga usikute na wewe unaitwa mama Fulani!, Ule msafara ulikuwa unafuata nini Kiev? Ulifika au bado uko njiani unajitafuta.
 
Acha umama, anajitangaza kuchukua maeneo baadae anayakimbia kwa mtiti wa Zelensky, Kuna watu ni wajinga usikute na wewe unaitwa mama Fulani!, Ule msafara ulikuwa unafuata nini Kiev? Ulifika au bado uko njiani unajitafuta.
Ukraine mdomo ndio mwingi kuliko vitendo.Walisema karibu watafika bahari ya Azov baada ya kuteka kijiji cha Robotyne.Sasa imeshajulikana kuwa Urusi kuwaachia eneo hilo ilikuwa ili wajijaze halafu waangamizwe wote.
Ukweli Ukraine imeishiwa na askari,silaha na misaada.
 
Kwa kuwa walikubali kuburuzwa na mpuuzi beberu Amerika,acha walinywe,kwa kuwa waliodanganyika kulikorogašŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…