Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Msafara wa vifaru kuelekea Kiev umefikia wapi mkuu?Ukraine mdomo ndio mwingi kuliko vitendo.Walisema karibu watafika bahari ya Azov baada ya kuteka kijiji cha Robotyne.Sasa imeshajulikana kuwa Urusi kuwaachia eneo hilo ilikuwa ili wajijaze halafu waangamizwe wote.
Ukweli Ukraine imeishiwa na askari,silaha na misaada.