Ellon Musk amdhihaki vibaya Zelensky

Msafara wa vifaru kuelekea Kiev umefikia wapi mkuu?
 
Tatizo limeanzia na seriksli tawala ya Biden ambayo inamsakama sana Elon, na X (Twitter) nae Elon hapoi amesmua kuanika uozo wa serikali ikiwemo kutotilia maanani tatizo la uhamiaji haramu huku mabilioni ya Dola yakienda Ukraine ambapo hata haijulikani aim ya hiyo vita ni nini πŸ˜†
 
Msafara wa vifaru kuelekea Kiev umefikia wapi mkuu
Na ile safari ya kukatisha Robotyne kuelekea bahari ya Azov nayo imeishia wapi.
 
NILICHEKI ARTICLE MOJA YOUTUBE MUAMIR GADAFFI WAS MORE WEALTH THAN BILL GATES SASA ELON MUSK KIJANA MDOGO ANAWEZA KU MAINTAIN KIJANA TAJIRI ANAYEWEZA KU MAINTAIN KIDUNIA NI MARC ZUCKERBERG TU ELON MUSK MWEMBWE NYINGI TU
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ile safari ya kukatisha Robotyne kuelekea bahari ya Azov nayo imeishia wapi.
Mvamizi anaendelea kutolewa kamasi, kwa atakayemsaidia Ukraine itakuwaje vile?! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
NILICHEKI ARTICLE MOJA YOUTUBE MUAMIR GADAFFI WAS MORE WEALTH THAN BILL GATES SASA ELON MUSK KIJANA MDOGO ANAWEZA KU MAINTAIN KIJANA TAJIRI ANAYEWEZA KU MAINTAIN KIDUNIA NI MARC ZUCKERBERG TU ELON MUSK MWEMBWE NYINGI TU
😳😳😳😳😳😳
 
Sijui kama walishakumbuka kumpiga akili yule mzeeπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…