Ellysasii Penati Hii Leo Si Halali

Ellysasii Penati Hii Leo Si Halali

Tumekua tukimlalamikia sana huyu mwamuzi si mara moja kwa kuwabeba wapinzani wetu Kumbe huwa anafanya blanda hata na mechi nyingine,kwa kweli penati waliyopewa Azam leo dhidi ya zRuvu shooting nasema si halali.

Na sasa ifikia wakati ellisasii achukuliwe hatua kama wengine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Makosa ya kibinadamu lazima yawe kwa team zote
 
Kweli msimu huu matajiri wameamua iwe mvua iwe jua. Nimejikuta nazima TV tu. Its hectic and boring.Poleni Ruvu Pole Mkwasa ndo mpira wa bongo huo.
Acheni ujuaji ile penati ni halali kabisa asingemgusa lyanga alikuwa kwenye possibility ya kufunga kwa 80%

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Sio penalty kwa mujibu wa Sheria au kwa tulivyozoeshwa? Kuwa penalty lazima "afe mtu"
 
Back
Top Bottom