Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 597
- 1,374
Hz penalt za Azam ni shida sana,penalt za miamala hz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yusuf Bakhresa kaona bora atumie njia za Uto kupata ushindi.
Makosa ya kibinadamu lazima yawe kwa team zoteTumekua tukimlalamikia sana huyu mwamuzi si mara moja kwa kuwabeba wapinzani wetu Kumbe huwa anafanya blanda hata na mechi nyingine,kwa kweli penati waliyopewa Azam leo dhidi ya zRuvu shooting nasema si halali.
Na sasa ifikia wakati ellisasii achukuliwe hatua kama wengine.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tulieni ivyo ivyo bakharesa kaamua nae saiviHata mimi baada ya ile penalt ya mchongo sikutazama tena mpira
Acheni ujuaji ile penati ni halali kabisa asingemgusa lyanga alikuwa kwenye possibility ya kufunga kwa 80%Kweli msimu huu matajiri wameamua iwe mvua iwe jua. Nimejikuta nazima TV tu. Its hectic and boring.Poleni Ruvu Pole Mkwasa ndo mpira wa bongo huo.
azam wenyewe wameona aibu mpaka you tube kwenye highlights wameondoa kipande kilichosababisha penaltyAcheni ujuaji ile penati ni halali kabisa asingemgusa lyanga alikuwa kwenye possibility ya kufunga kwa 80%
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Penati nyingine ni ile mechi ya Azam akiwa anacheza NBC PL siku ambayo Yanga FC ilikuwa ugenini dhidi ya Africaine ya Tunisia ilikuwa ni magumashi tupu.Hata ile Penati ya Azam ya mechi ya juzi ilikuwa ya mchongo
Acha tushindane kwa umafia tuPenati nyingine ni ile mechi ya Azam akiwa anacheza NBC PL siku ambayo Yanga FC ilikuwa ugenini dhidi ya Africaine ya Tunisia ilikuwa ni magumashi tupu.
Ask herSio penalty kwa mujibu wa Sheria au kwa tulivyozoeshwa? Kuwa penalty lazima "afe mtu"
Kuna mtu katajwa kalawitiwa au ndio michezo yako/yenu huko utopoloni?Mkisha kula unga mnawaza kulawitiwa tu
Mumeo haumjui?Nan kabwili?
Unataka uniambie tabia zenu za kuwq na mabwqna hapo avic town kama morisoni na aziza kei pamoja na wewe mnataka kutuambukiza sisi simba?Mumeo haumjui?
Unatamani kuwa shoga?Unataka uniambie tabia zenu za kuwq na mabwqna hapo avic town kama morisoni na aziza kei pamoja na wewe mnataka kutuambukiza sisi simba?
Kwani wewe shoga?Unatamani kuwa shoga?
Haiwezi pita siku hamja mtaja kiboko yenu
Mimi nataka nikuoe uwe mkewangu wa tatuKwani wewe shoga?
Acha tukome hivyo hivyo 😄Sasa hivi Azamu nao wamegundua shortcut mbona tutakoma