Elon Musk aachia project mpya iitwayo Tesla Solar Roofs

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.

Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo.

The game changer.

Screenshot_20241001-195321.jpg
 
View attachment 3112448

Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.

Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!

The game changer....!
Ebu ongea kiufundi tukuelewe, naona unaongea kisiasa!
 
View attachment 3112448

Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.

Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!

The game changer....!
Mkuu mbona ya muda sana. Ila mpaka upate roof ya kukupa inachokupa tanesco si pungufu ya mils kama mia mbili so bado tanesco ataendelea kuwa rafiki yako.
unaweza kucheck review ya MKBH ina zaidi ya mwaka aliifunga kwake akatumia so akaja na review kama iko worth it na aliisifia hata kwenye winter bado ilikuwa inapiga kazi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=UJeSWbR6W04
 
Yaani iko hivi, Tesla wana Solar roof zipo za aina mbili, ukitaka bati kabisa ambalo ni solar au kama tayari ushaweka bati unanunua panels.

Sema ni expensive saaaaaana, nakumbuka MKBHD ali review alitumia $100,000 premium version.

Si nadhani tuendelee na hizi za kawaida.
 
Uchague sasa $100k uweke bati au ununue rozi rozi
 
Mkuu mbona ya muda sana. Ila mpaka upate roof ya kukupa inachokupa tanesco si pungufu ya mils kama mia mbili so bado tanesco ataendelea kuwa rafiki yako.
unaweza kucheck review ya MKBH ina zaidi ya mwaka aliifunga kwake akatumia so akaja na review kama iko worth it na aliisifia hata kwenye winter bado ilikuwa inapiga kazi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=UJeSWbR6W04

Ni vile hatuna hela tu. Kuna yule JerryRigEverything nae aliwahi ifanyia review.

Solar kwa Dar nadhani itafaa maana sio kwa jua ili.
 
Back
Top Bottom