Elon Musk aachia project mpya iitwayo Tesla Solar Roofs

Elon Musk aachia project mpya iitwayo Tesla Solar Roofs

Yaani iko hivi, Tesla wana Solar roof zipo za aina mbili, ukitaka bati kabisa ambalo ni solar au kama tayari ushaweka bati unanunua panels.

Sema ni expensive saaaaaana, nakumbuka MKBHD ali review alitumia $100,000 premium version.

Si nadhani tuendelee na hizi za kawaida.
Bora hizi za kawaida
 
kwa bei ya milioni 260, niseme labda matumizi yangu kwa mwezi ni umeme wa laki 2, ina maana ili kurudisha ela hiyo ni miaka 108 labda kinachonikimbiza tanesco iwe ni kukatikatika kwa umeme otherwise sinunui.
Bora tubaki kwa taa_ nesko
 
Yah hapa inafaa sana maana jua la kutosha, tanesco wangefanya kama US umeme ukiwa mwingi unarudi kwenye grid wanakulipa kama akina mkbh
Kama ni bongo hawakulipi tena wewe ndio utawalipa kwasababu unatumia jua la serikali
 
Back
Top Bottom