Elon Musk aachia project mpya iitwayo Tesla Solar Roofs

Elon Musk aachia project mpya iitwayo Tesla Solar Roofs

View attachment 3112448

Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.

Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!

The game changer....!
Tesla solar roof zimezinduliwa zaidi ya miaka mitano iliopita
 
hawawezi kuruhusu jambo hilo. Tanzania nilikuwa sijui kumbe hata kama unaishi sehemu hakuna maji ukachimba kisima unahitaji kibali hata kuwasambazia wenzako maji. yani bora waendelee tu kukaa bila maji lakini kuwapa maji lazima upate kibali na ulipie hayo maji maana si mali yako.
Kuchimba tu kisima unahitaji kibali kutoka bonde (kwa Dar Wami Ruvu Basin), aya kuna kulipia iko kisima (Wami Ruvu Basin) na kuna ada ya kila mwaka.

Imagine kusupply mtaani.
 
View attachment 3112448

Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.

Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!

The game changer....!
Hayo ma solar roof unafikiri yatakuwa yanauzwa 20,000/- kama bati za Simba Dumu?
 
Back
Top Bottom