Ebu ongea kiufundi tukuelewe, naona unaongea kisiasa!View attachment 3112448
Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.
Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!
The game changer....!
Kweli kabisa...Msomi ni yule anayeleta UNAFUU wa Maisha kwenye jamii..Anaingia kwenye kundi la akina Michael Faraday,Albert E..Bell, kongole kwakeHuyu akisema kaenda shule unaamini
Sisi huku tunasindikiza tu ila ukikuta tunajisifia 😆😆😆😆Kweli kabisa...Msomi ni yule anayeleta UNAFUU wa Maisha kwenye jamii..Anaingia kwenye kundi la akina Michael Faraday,Albert E..Bell, kongole kwake
Mkuu mbona ya muda sana. Ila mpaka upate roof ya kukupa inachokupa tanesco si pungufu ya mils kama mia mbili so bado tanesco ataendelea kuwa rafiki yako.View attachment 3112448
Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.
Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!
The game changer....!
Uchague sasa $100k uweke bati au ununue rozi roziYaani iko hivi, Tesla wana Solar roof zipo za aina mbili, ukitaka bati kabisa ambalo ni solar au kama tayari ushaweka bati unanunua panels.
Sema ni expensive saaaaaana, nakumbuka MKBHD ali review alitumia $100,000 premium version.
Si nadhani tuendelee na hizi za kawaida.
Ni vile hatuna hela tu. Kuna yule JerryRigEverything nae aliwahi ifanyia review.Mkuu mbona ya muda sana. Ila mpaka upate roof ya kukupa inachokupa tanesco si pungufu ya mils kama mia mbili so bado tanesco ataendelea kuwa rafiki yako.
unaweza kucheck review ya MKBH ina zaidi ya mwaka aliifunga kwake akatumia so akaja na review kama iko worth it na aliisifia hata kwenye winter bado ilikuwa inapiga kazi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=UJeSWbR6W04
kwa bei ya milioni 260, niseme labda matumizi yangu kwa mwezi ni umeme wa laki 2, ina maana ili kurudisha ela hiyo ni miaka 108 labda kinachonikimbiza tanesco iwe ni kukatikatika kwa umeme otherwise sinunui.Uchague sasa $100k uweke bati au ununue rozi rozi
Usubiri mabati ya $50,000?Ngoja tuyasubiri
Yah hapa inafaa sana maana jua la kutosha, tanesco wangefanya kama US umeme ukiwa mwingi unarudi kwenye grid wanakulipa kama akina mkbhNi vile hatuna hela tu. Kuna yule JerryRigEverything nae aliwahi ifanyia review.
Solar kwa Dar nadhani itafaa maana sio kwa jua ili.