Sasa si bora ununue jenereta.kwa bei ya milioni 260, niseme labda matumizi yangu kwa mwezi ni umeme wa laki 2, ina maana ili kurudisha ela hiyo ni miaka 108 labda kinachonikimbiza tanesco iwe ni kukatikatika kwa umeme otherwise sinunui.
TANESCO hawa hawa au?Yah hapa inafaa sana maana jua la kutosha, tanesco wangefanya kama US umeme ukiwa mwingi unarudi kwenye grid wanakulipa kama akina mkbh
Kwahio hapo kama $100k ipo mfuko wa shati bora rozo rozi sio 😄kwa bei ya milioni 260, niseme labda matumizi yangu kwa mwezi ni umeme wa laki 2, ina maana ili kurudisha ela hiyo ni miaka 108 labda kinachonikimbiza tanesco iwe ni kukatikatika kwa umeme otherwise sinunui.
Bora chuma aisee. Umeme tutachaji simu Bar.Kwahio hapo kama $100k ipo mfuko wa shati bora rozo rozi sio 😄
hawawezi kuruhusu jambo hilo. Tanzania nilikuwa sijui kumbe hata kama unaishi sehemu hakuna maji ukachimba kisima unahitaji kibali hata kuwasambazia wenzako maji. yani bora waendelee tu kukaa bila maji lakini kuwapa maji lazima upate kibali na ulipie hayo maji maana si mali yako.TANESCO hawa hawa au?
Mkuu hapo ni rozi rozi nachofanya nafunga ile backup ya battery inaitwa sijui hybrid ambayo inakupa 48 hours za matumizi ya umeme ukikatika maana haiwezi hata kufika milioni 20.Kwahio hapo kama $100k ipo mfuko wa shati bora rozo rozi sio 😄
Chuma inaweza kukupeleka hadi south africa vacation sasa bati doohBora chuma aisee. Umeme tutachaji simu Bar.
Tesla solar roof zimezinduliwa zaidi ya miaka mitano iliopitaView attachment 3112448
Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.
Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!
The game changer....!
Kwenye chuma kuna uchawi mwingi sana aiseee 😄 embu fikiria mtu anaweza asijenge ili tu awe na chuma 🔥Mkuu hapo ni rozi rozi nachofanya nafunga ile backup ya battery inaitwa sijui hybrid ambayo inakupa 48 hours za matumizi ya umeme ukikatika maana haiwezi hata kufika milioni 20.
chezea chuma mkuu, mimi mpaka najenga nishabadilisha vyuma 4 na nshagombana na wenye nyumba sometimes nachelewesha kodi lakini sikomi.Kwenye chuma kuna uchawi mwingi sana aiseee 😄 embu fikiria mtu anaweza asijenge ili tu awe na chuma 🔥
Kuchimba tu kisima unahitaji kibali kutoka bonde (kwa Dar Wami Ruvu Basin), aya kuna kulipia iko kisima (Wami Ruvu Basin) na kuna ada ya kila mwaka.hawawezi kuruhusu jambo hilo. Tanzania nilikuwa sijui kumbe hata kama unaishi sehemu hakuna maji ukachimba kisima unahitaji kibali hata kuwasambazia wenzako maji. yani bora waendelee tu kukaa bila maji lakini kuwapa maji lazima upate kibali na ulipie hayo maji maana si mali yako.
Maisha kupita mtu. Experience nzurichezea chuma mkuu, mimi mpaka najenga nishabadilisha vyuma 4 na kila nshagombana na wenye nyumba sometimes nachelewesha kodi lakini sikumi.
sishauri mtu kuwa na akili ya kidwanzi kama nilizo kuwa nazo.
Kabisa mkuu experience ni mwalimu mzuri.Maisha kupita mtu. Experience nzuri
Hayo ma solar roof unafikiri yatakuwa yanauzwa 20,000/- kama bati za Simba Dumu?View attachment 3112448
Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.
Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo....!
The game changer....!
bei zipunguekwa bei ya milioni 260, niseme labda matumizi yangu kwa mwezi ni umeme wa laki 2, ina maana ili kurudisha ela hiyo ni miaka 108 labda kinachonikimbiza tanesco iwe ni kukatikatika kwa umeme otherwise sinunui.
Ingekua nusu yake ningejikakamuaUsubiri mabati ya $50,000?
ila wakwetu huko dokta dokta dokta dokta purofesa, hatari sana aka CHAWA hawezi hata kubadilisha balbu ikiungua.Huyu akisema kaenda shule unaamini